picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka!

    🤣🤣🤣🙌
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

    Act wazalendo wanajitutumua ili kupata kura hapo tar 16
  3. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  4. JamiiForums Tanzania Eid ndio imeanza, picha motomoto

  5. JamiiForums Tanzania Unapika chakula gani leo? Tupia picha ya chakula kikiwa tayari

    Hello wapishi. Leo ni siku ya sikukuu wa wenye imani ya dini ya Kiislamu, ila kwa kiwa sisi ni wamoja huwa tunasherehekea pamoja. Sasa leo unapika nini siku hii? Tushirikishe kisha tupia picha ya msosi wa Idd hapa baadae. Mimi nitapika pilau. Idd Mubarack.
  6. JamiiForums Tanzania Hii picha ina ukweli wowote kwa kinachoendelea Gaza Israel

    Hamas,fatah na Palestine organisation siraha zao huziweka kwenye makazi ya watu,hata wakitaka kufanya mashambulizi,rocket launcher zao huzifyaturia kwenye makazi ya watu wengi,Ili watu hao na makazi yatumike kama ngao dhidi ya Israel,wao hutegemea wakiwaweka Raia wakawaida mbele,Israel...
  7. J

    JamiiForums Tanzania RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwanayanga aliyeitia aibu nchi jana

    Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine. Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema...
  9. JamiiForums Tanzania Nyerere akiwa na John Rupia na Suleiman Takadiri, picha ya enzi za kupigania uhuru

    Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu. Kuikomboa Tanganyika. Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi, Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki...
  10. JamiiForums Tanzania Twitter yaondoa mfumo wa kukata picha

    Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye mtandao wa kijamii wa Twitter umetangaza kuacha kukata picha na sasa hautalazimika kufungua kuona picha kwa ukubwa kamili. Mtandao huo ulitangaza miezi kadhaa iliyopita kuwa unajaribu mwonekano huo mpya, kabla ya kuanza kutumika rasmi. Twitter ilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi nguzo zilikuwepo na picha ya tausi, enzi hizo chumbani kwa bibi hiki ni kitanda muhimu.

    Kiliitwa kitanda cha semedari
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Kenya na Tanzania hawajavaa barakoa. Tunapata ujumbe gani hapa?

    Hakuna barakoa, wala social distance. Hii ni ujumbe gani kwetu?
  13. JamiiForums Tanzania Picha za Hayati Magufuli zitolewe maofisini

    Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli Nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpya Samia Suluhu Aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha Serikali haina mikakati...
  14. JamiiForums Tanzania Picha zilizopigwa na kutoa ujumbe tofauti na uliokusudiwa

    Picha kama hii inaonesha ni namna gani vitu vitatu vinaweza kukutana kwa pamoja na kutoa ujumbe tofauti kabisa na ambao mpiga picha alikusudia(Perfect timing photography) Object +Time+ Photographer Mkuu Emmanuel Kasomi asante kwa kunikumbusha kuhusu hizi picha za namna hii. Wacha niweke hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Moja ya picha adimu sana ya wakuu wetu wa Ulinzi na Usalama

    Baada ya huzuni ya mwezi mmoja, sasa wanaendelea na majukumu yao kwani Taifa la watu mil 60 liko chini ya uangalizi wao, Ukubwa ni dawa. Sijui nini kilichowafanya wazee hawa angalau wakacheka.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Jenerali Kayumba Nyamwasa alipokuwa na Familia yake

    Siku zinakimbia mno ila maisha yanaendelea. Pichani Jenerali Kayumba alipokuwa hai na Mkewe Rosete pamoja na Kijana wao wa Kiume. Luteni Jenerali Kayumba yupo hai akiishi Afrika Kusini baada ya kukosana na Kagame. Amenusurika majaribio kadhaa ya kuuliwa ikiwemo tukio la kupigwa risasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM - Aprili 30, 2021

    Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM, DODOMA
  18. JamiiForums Tanzania PICHA: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwasili kwenye mkutano Mkuu wa CCM unaendelea huko Dodoma

    Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi . Katika Mkutano huu unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya...
  19. JamiiForums Tanzania Namuona Barbara Gonzalez katika picha ya Marina Granovskaia wa Chelsea

    Nyuma ya mafanikio ya Chelsea chini ya Bilionea wa Kirusi Roman Abromovic yupo mwanamke wa shoka na jasiri Marina Granovoskaia,Aliajiriwa katika kampuni ya mafuta ya Mrusi Roman Abromovic ya sibnfet mwaka 1997 kabla ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa Abromovic kwenye bodi ya Chelsea mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

    Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu! Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…