Nyerere akiwa na John Rupia na Suleiman Takadiri, picha ya enzi za kupigania uhuru

battawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
2,672
2,540
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955.jpg

Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa

Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu.

Kuikomboa Tanganyika.
Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi,

Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki, Panga na Kisururu kiunoni. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 najiuliza atavitumiaje hivi kwa wakati mmoja?

Wakati huo wagombea Uhuru wengi wao walikuwa Waislamu wa Pwani na Masheikh.

Je, kuna kitu cha kujifunza katika picha hii ya zamani?
 
Ila nyerere hakupendelea imani fulani.

Ukiongea na wazee waliyoshika wadhifa.

Wakati wa utawala,wanakuambia licha ya wao kutokuwa na elimu lkn aliwachomeka kwenye nafasi kubwa mfano u rc etc
Kumbuka mzee songambele alikuwa dereva tena anaendesha magari ya IGP enzi hizo Azizi
Lakini alikuja kuwapa vyeo

Ova
 
Watu wa pwani ni wapenda haki na uhuru, wakati waislam wanapambania uhuru wengi wa wakatoliki walikuwa wamejificha huko vichochoroni kwa woga na uzwazwa.

Mifano uko hai tawala za Mwinyi, JK na sasa Mama Samia zinajitanabaisha kuwa za angalay kuwa na uhuru na amani tofauti na wengine
 
Watu wa pwani gani?
Hao ndio mdebwedo
Hawajapigana hata vita moja wao maneno mengi tu
 
Halafu mwingine kila siku anauliza wote wasilaha nawatu kila akihutubia anataja kifo watanzania nikifa mtanikumbuka ,nikifa Mimi mtanikumbuka ,malaika nitaishi nao
 
Watu wa pwani ni wapenda haki na uhuru, wakati waislam wanapambania uhuru wengi wa wakatoliki walikuwa wamejificha huko vichochoroni kwa woga na uzwazwa.

Mifano uko hai tawala za Mwinyi, JK na sasa Mama Samia zinajitanabaisha kuwa za angalay kuwa na uhuru na amani tofauti na wengine
Waislamu ni Sawa na Waisrael a.k.a wasabato tuu , yaan dini za mashariki ya Kati , zinavurugwa Tu na western countries Ila ni watu wenye utu Sana tuseme Tu ukweli , majitu mengine Yana roho mbaya Sana
 
Uko sahihi.
 
Hapo Nyerere ana miaka 33 tu. Sasa leo hii nitafutie vijana wenye miaka 33 au zaidi miongoni mwa watu wetu kwenye siasa. Kwenye inshu kama hizi za kupambana na ukoloni mamboleo utawasikia "tutashtakiwa MIGA".
Mbona umetaja kinyume chake. Utaisikia we ni msaliti, unaenda ulaya kutafuta uhuru UN vijana wa ccm wasio na mbele wala nyuma ungewasikia wakimwambia Nyerere ni Shoga anaenda ulaya
 
Mbona umetaja kinyume chake. Utaisikia we ni msaliti, unaenda ulaya kutafuta uhuru UN vijana wa ccm wasio na mbele wala nyuma ungewasikia wakimwambia Nyerere ni Shoga anaenda ulaya
Kwani hapo Nyerere yupo Ulaya, au kazungukwa na wazungu?
 
Back
Top Bottom