sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Hamas,fatah na Palestine organisation siraha zao huziweka kwenye makazi ya watu,hata wakitaka kufanya mashambulizi,rocket launcher zao huzifyaturia kwenye makazi ya watu wengi,Ili watu hao na makazi yatumike kama ngao dhidi ya Israel,wao hutegemea wakiwaweka Raia wakawaida mbele,Israel atashindwa kuwaahambulia