picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Akina Kamwe, Manara na Privadinyo waliokuwa 'Wakitupostia' Picha za Miquissone Kipindi cha Usajili mbona sasa wako kimya?

    Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu. Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
  2. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Hii simu ijae picha zangu tuuu

    Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu. Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima..... Kaka kazi unayo Ila mwenzenu week...
  3. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

    Wasalaam wandugu, Mwajionaje na Hali? Nyuzi hii ni kwa ajili ya picha ambazo hazina Caption au text yoyote kuielezea lakini zina ujumbe unachochea, kuvuta, kuelimisha, na Kutafakari. USISITE KUTIRIRISHA HAPA PICHA YOYOTE YENYE KUFANANA NA MRENGO WA Nyuzi KARIBUNI
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
  5. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Hebu jaribu kupata picha ya jinsi maisha yatakavyokuwa miaka 50 ijayo

    Jamani maisha yanaendelea kuwa magumu kila kukicha especially katika bara la Africa. Yaani the further we go (in terms of years) the worser the situation becomes (in terms of economy). Vijana waliohitimu vyuo wamefurika mitaani Ila ajira hakuna kabisa.Hii imewasaba ishia vijana wengi misongo ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Picha: Papa Francis akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa Papa Benedict XVI

  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wakitoa heshima za mwisho kwa 'Mfalme wa Soka' Pele

  9. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Rais Samia waliyopiga Ikulu inaonesha asali nyuma

    MADAI Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake. Ukweli wa picha hii upoje? Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali Picha...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwili wa Papa Benedict XVI umewekwa ndani ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Vatican

    Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima za mwisho kwa Papa huyo ambaye aliishangaza dunia kwa kustaafu. Kulipopambazuka, Walinzi 10 wa Papa...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Asali imelambwa lazima

  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kiongozi wa ACT Wazalendo akijifanya mwema kwa raia kumbe ni mchumia tumbo tu

    Anatafuta kick
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

    Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December! Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225 Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kalenda za Hayati zinanunulika sana kuliko zenye picha ya Rais?

    Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali. Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura na Jeshi lako, Kurusha Picha za "Wanawake wafanyabiashara ya Ngono", mitandaoni, ni Uvunjaji wa haki za Mwadamu... hatua zichukuliwe.!!.

    Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona. Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
  17. Man Rody

    JamiiForums Tanzania Kuweka picha ya profile tofauti na jinsia yako

    Habari za leo wadau... Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Picha ya Messi akibeba Kombe la Dunia 2022 yaweka rekodi kwenye Social Media zote

    Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea. Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Picha ya mchezaji wa Argentina yachafua ulimwengu mzima

    Jamaa baada ya kupewa golden globe akafanya ishara Kama Ana**MBA vile mbele ya watu bilioni 4
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nilipokosa kupiga nae Picha mlinicheka Mitandaoni, mbona Jana nimepiga nae White House na hamnipongezi?

    Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili...
Back
Top Bottom