picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. byeyombo

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye picha hizi?

    Wale wataalamu wa lugha ya picha na photorealistic mtusaidie kidogo
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya kufungia mwaka 2022

    Nawewe tupia yako
  3. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Picha yenye maelezo: Wabara milioni 59 kupata wawakilishi 20 na Wazanzibari milioni 1.8 kupata idadi sawa haijakaa sawa

    Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu. watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  6. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Picha ya Harmonize akiwa uchi na kipichu inahuzunisha sana

    Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu. Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama nimeachwa na nimpendaye ni siri ya ndani. Niliapa kwamba nitamshauri Harmonize na kama utaamua kuchukua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
  8. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

    Watu watatu wamekutwa wamekaa juu ya kizimba cha majembe ya kusozea meli Mlinzi wa pwani ya Uhispania amewaokoa watu watatu waliopatikana wakiwa wamejiegesha juu ya ukingo wa majembe ya kusozea meli iliyowasili katika visiwa vya Canary kutoka Nigeria. Wanigeria Watatu Wapatikana Wakiwa...
  9. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Ihefu dhidi ya Yanga, zipe maneno

  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tunga sentesi moja kwa kutumia hii picha.

  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ni kwa kiasi watu wanawaamini Makamba na Tanesco angalia hii picha!

  12. imhotep

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha inayoonesha watu wakinywa maji machafu pembeni ya dimbwi imepigwa nchini Tanzania

    Oicha hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu wanadai imepigwa nchini Tanzania, lakini kutokana na uwekezaji mkubwa ambao Serikali yetu imefanya mimi siamini kama ni kweli imepigwa nchini kwetu. Je, hii picha ni Tanzania?
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  14. amadala

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ukiwa unaangalia Kombe la Dunia

    cc: Stress Challenger
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

    Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
  17. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tafsiri ya picha hii?

  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

  19. maroon7

    JamiiForums Tanzania Picha ya kuanzia weekend

  20. Roy Logan

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya mbuga uliyotembelea Tanzania

    Habari za majukumu wadau, katika kukuza utalii wa ndani na kuhamasishana mara moja moja kwenda kutembelea mbuga zetu, tafadhali tupia picha ulizopiga mwenyewe ukiwa mbugani. Mimi naanza na hizo nikiwa Tarangire National Park.
Back
Top Bottom