Mashaka makubwa kuhusu ujio wa ndege kubwa duniani Antonov 124 iliyotua na kuondoka KIA Desemba 22

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!

Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225

Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi!

Lakini kwakuwa ni la mizigo basi linauwezo wa kubeba kilo laki moja na elfu hamsini na sita (156,000kg)

Gharama ya kuendesha ndege hii inazidi mara kumi na tano (~18) ya gharama za kuendesha ndege ile kubwa kabisa ya Air Tanzania ambayo inakwenda China!

Swali na wasiwasi wangu je hiyo ndege kubwa namna ile inawezaje kuja kutua KIA kwa kubeba vi nguo vya watalii?

Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!

Siku zote madege na meli kubwa huwa tunaoneshwa picha za ndani likija na likiondoka lakini hili dege sijui hata lilikuja limebeba nini na liliondoka limebeba nini mimi sijui!

Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
maana hii nisawa na mtu ageuze BUS kuwa TAX halafu tuone kawaida! hata kama jeuri ya pesa Inatia mashaka!

Ukiunganisha na dot za mwamba aliyekuwa anasherekea bezidei mbugani juzikati mashaka yanazidi.

----
UFAFANUZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UWANJA WA KIA

photo_2022-12-26_19-34-34.jpg

ndege.jpg
 
Subiri kidogo,
Antonov AN -225, ndege kubwa kuliko zote duniani si iliharibiwa na warusi huko Ukraine??? View attachment 2455560View attachment 2455563Na hakuna nyinginge ilikua moja tuu.
Hiyo iliyoharibiwa ni nyingine ilikuwa kubwa zaidi ! Ni jamii moja ziliundwa na kiwanda kimoja cha Antonov!

Hii iliyokuja bongo ni wadogo zake! Ila kwasasa ni miongoni mwa ndege kubwa za mizigo ni ya pili duniani
 
Kuna ndege kubwa sana ilitua na kuondoka uwanja wa ndege wa Kilimanjaro tarehe 22 December!

Ndege ile ni miongoni mwa madege makubwa matano tu duniani (MAXIMUM S AIR CARGO) inaitwa Antonov AN -225

Dege hilo kama likiamua kubeba watu basi ni wastani wa watu siyo chini ya elfu tatu na zaidi!

Lakini kwakuwa ni la mizigo basi linauwezo wa kubeba kilo elfu kumi na tano (156,000kg)

Gharama ya kuendesha ndege hii inazidi mara kumi na tano (~18) ya gharama za kuendesha ndege ile kubwa kabisa ya Air Tanzania ambayo inakwenda China!

Swali na wasiwasi wangu je hiyo ndege kubwa namna ile inawezaje kuja kutua KIA kwa kubeba vi nguo vya watalii?

Nguo na mabegi ambayo yanaweza kubebwa na ndege za kawaida Leo hii yabebwe kwenye hilo dubwana kubwa namna hiyo kwa faida ya nani basi kuna watu wnapesa za kuchezea!

Siku zote madege na meli kubwa huwa tunaoneshwa picha za ndani likija na likiondoka lakini hili dege sijui hata lilikuja limebeba nini na liliondoka limebeba nini mimi sijui!

Labda wataalam mtusaidie kutuambia liliondoka limebeba nini!
maana hii nisawa na mtu ageuze BUS kuwa TAX halafu tuone kawaida! hata kama jeuri ya pesa Inatia mashaka!
View attachment 2455585
View attachment 2455545
Kasome habari za safina ya nuhu.

Hapo utawakuta
Twiga, tembo,faru, etc wapo ndani

Kama mazuri lakini ni mabaya SANAA
 
Back
Top Bottom