Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Wasalaam wandugu,

Mwajionaje na Hali?

Nyuzi hii ni kwa ajili ya picha ambazo hazina Caption au text yoyote kuielezea lakini zina ujumbe unachochea, kuvuta, kuelimisha, na Kutafakari.

087FD079-E582-4A0C-8353-1651E1A5B242.jpeg


USISITE KUTIRIRISHA HAPA PICHA YOYOTE YENYE KUFANANA NA MRENGO WA Nyuzi
KARIBUNI
 
Back
Top Bottom