Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,

Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye pesa ata kama anatumia kidole atakuacha na kwenda zake.

Tutafute pesa mademu wazuri tutawakuta tukiwa nazo, Sasa hivi tuwachakate tu na kusepa kwenda kutafuta shekeli.


Cc Zero IQ
 
Nakubaliana nawe kea asilimia zote kwasababu nina mifano na ishanitokea.

Nilioa na mke wangu nilikua namchakata vizuri sana nilivoyumba kiuchumi lakini hatukukosa pesa ya kula mke wangu alibeba kila kitu.

mpaka nguo zangu kaondoka mpaka sasa anaishi na mwanaume mwingine nina rafiki zangu watatu nao yamewakuta.
TUTAFUTE PESA WAUGWANA
 
Nakubaliana nawe kea asilimia zote kwasababu nina mifano na ishanitokea.
Nilioa na mke wangu nilikua namchakata vizuri sana nilivoyumba kiuchumi lakini hatukukosa pesa ya kula mke wangu alibeba kila kitu mpaka nguo zangu kaondoka mpaka sasa anaishi na mwanaume mwingine nina rafiki zangu watatu nao yamewakuta.
TUTAFUTE PESA WAUGWANA
Wewe ulimpata kahaba ambao anao waongelea bwana zirooo sio mke
Kumpata mpenzi wa dhati ni ngumu kama una mawazo ya bwana zirooo

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kujidanganya
Pesa na mapenzi ni kama maji na mafuta
Nani huyo kakudanganya zaidi? Mapenzi na pesa ni kama samaki na maji.

Wakulungwa wanasema "Mapenzi si PESA ila zikipungua na mapenzi YANAPUNGUA" tafuta pesa, narudia tafuta fwedha upunguze kujieleza kwa wanawake shida zako za maisha na hatokuelewa kamwe, pesa ni shortcut ya kujielezea eleza hovyo kusikokua na mpangilio.
 
Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,

Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa,
Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake,
Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye pesa ata kama anatumia kidole atakuacha na kwenda zake.

Tutafute pesa mademu wazuri tutawakuta tukiwa nazo,
Sasa hivi tuwachakate tu na kusepa kwenda kutafuta shekeli.


Cc Zero IQ
tupeane michongo ya kupiga pesa sio za kula na kulipa kodi

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom