asali
basi
ccm
chadema
chama
eneo
hadhi
hawana
huwa
kioo
kujenga
kujengea
kukosa
kukusanya
kwanza
makao makuu
mkakati
njaa
ofisi
pesa
sana
simba
soka
tunahitaji
umma
viongozi
viwanja
waganga
waganga njaa
wakati
wapi
watoto
wazo
yanga
Unaanzaje kumkashifu mwanaume ambaye tayari kaona utupu wako, hoooo wewe fala umenihonga zaidi ya milioni halafu mimi nimekupa mara moja tu, kabao kenyewe kamoja tu ka kichovu, je hiyo pesa ina thamani kuliko mwili wako?
Je, angekugonga mabao mia pesa yake ingerudi? Kama ulitoa nanii baada ya...
Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China.
Studio za Universal...
Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo mengi ya kiroho ambayo yanahusu 90% ya maisha yangu hadi pale niliposhawishika kununua .
e-book...
Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa na kazi ya miezi mitano mkoani Kigoma. Nikiwa huko nilikutana na classmate na roommate wa chuo niliyesoma naye miaka ya nyuma DIT.
Tulipiga stori za hapa na pale, tukazoeana kiasi. Akajitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye shirika la misaada, na pia...
Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu.
Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS.
Wamewazaje kupandisha thamani ya...
Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo
Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini...
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je...
Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
Tangu tozo mpya zilipoanza nimesusa kutoa pesa kwenye akaunti yangu, chakushangaza Tigo wamekuwa wakinitumia ujumbe nitoe pesa vinginevyo wataifunga! Wakiifunga inamaana wao watakomba pesa yote ndani ya akaunti yangu?
Na kwanini wakombe wakati mimi niko hai kwani namba yangu ya Tigo ninaitumia...
NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA
Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.
Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!
Ntatafuta kila sababu...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kuongezeka michango ya lazima katika shule za serikali, baadhi ya michango hiyo ni majengo, taaluma, madawati lakini watu wameenda deep zaidi hadi pesa za mitihani ya shule.
Hizi ni dalili tosha kabisa kwamba...
Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza kumpinga akafukuzwa kwenye nyumba hiyo, mwaka 2004 nikiwa Dar es Salaam nilishuhudia Mkuu wa idara ya...
Wanajamvi nataka niwasilishe hoja kibabe
Ni hivi kuna zile kauli ooh Mapenzi sio pesa, pawepo na upendo wa dhati basi, ooh ndani pawe na Amani na Upendo ndio kitu kikubwa nisawa.
Ila tu nikazie Hasa kwa Mwanaume pambana uwezavyo uwe na visenti ili mkitaka kwenda Coco kula miogo unato tu cent...
Ciao jf
Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo
Rejea
Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita.
Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
MANARA anadai eti bilioni 223 za mkataba wa Azam na TFF zinaweza kupanga elfu kumi kumi zikafika brazil na kurudi
umbali wa kutoka dar es salaam hadi brazil ni kama kilometa 9000 na kurudi ni karibu kilometa 18000
Noti moja ya shilinigi elfu kumi ina urefu wa sentimita 14
unahitaji noti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.