Washindi wa michongo pesa

marine 1

Member
Jul 29, 2015
60
67
Habari za muda huu wanajamvi

Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi.
Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho.

Sasa najiuliza, mbona bahati nasibu nyingine zinazochezeshwa kwenye TV huwa namba za washindi zinaonekana zote? Kwanini wao wanapata kigugumuzi kutaja namba Kamili za washindi.

Au washindi hao huwa ni WA michongo pia,hivyo wanaogopa wasijulikane?
 
Simu umemiliki tangu lini,hujui usumbufu wa kupigiwa hovyo

We endelea kucheza kuna siku utashinda,
Katika bahati nasibu zilizowahi kufanyika hapa bongo hii ni ya ukwel
 
Ni kweli Kuna siku Mimi nimecheza elfu hamsini sijashinda alafu mtu amecheza point mbili eti akashinda na vigezo ni kuwa na point nyingi zaidi ya wengine kuanzia hapo nikaona ujinga tuu
 
Matapeli tu na washindi wote wanatoka mikoani Dar hapa wanajua akipatikana mshindi watu watataka kuthibitisha kama ni kweli kwa hiyo mikoani ndio bado wamelala siku wakiamka CLOUDS washafungua redio nyingine na bado kuna tatu mzuka.
 
Back
Top Bottom