Yaani kwa sasa wameshakopa sasa wamefikia kikomo wanatafuta mahali pa kukamua kuendana na hayo madeni, ni mwendo wa kubuni kodi za vichwa sasa maana huwezi kata kodi akiba ya mtu ambayo hajaifanyia kazi or kuuza kitu hiyo sio kodi badi ni unyang'anyi.
Umemuingizia mshahara mtu umemkata kodi...
Habari JF,
Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.
Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee.
Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:-
Wauza mishikaki
Wauza matunda
Mama ntilie
Utaanzaje anzaje:-
Tembelea hayo makundi hapo juu
Tathmini mauzo yao kwa siku
Kwa...
Wanadamu wengi tumerithi kwa walezi wetu fikra isemayo kwamba ukiwa na pesa unaweza kununua chochote ukipendacho kwa sababu tulishuhudia kumuona tajiri wa mtaa akisumbua atakavyo wakati tulipokuwa wadogo ila wengi hatukufundishwa kutambua kuwa ndoa ni ya mtu bali msiba ni wa watu.
Ndoa ni...
Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko.
Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu?
Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa.
Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season...
Salaam wadau.!
Natumaini kabisa mko njema. Kwenye maisha yetu kila siku tumekua tukipitia vipindi tofauti tofauti ambavyo vimejaa furaha, machungu na Majonzi wakati fulani.
Binadamu anaweza kuwa ni kiumbe pekee mwenye hisia hasa hasa kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii, ambaye kwenye...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
CAG Mstaafu Ludovick Utouh na Mkurugenzi wa Taasisi ya Wajibu Tanzania ameitaka Serikali kufanya uchunguzi na kuwatafuta wote waliotafuna pesa kiasi cha Trail.1.23 zilizoibuliwa na Mkaguzi wa ndio mwaka wa Fedha 2019/2020..
Utouh Amesema licha ya pesa hizo...
Kulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa.
Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi.
Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu.
Mashamba yake...
Za saizi watanganyika wenzangu!
Kuna mwanamke niko na mahusiano nae,ila nimekua mbahili sana kumpa hela.vijipesa ninavyompa ni hivi vya nauli tu za kuja na kuondoka ghetto kwangu akiwa ananiletea mbususu.
Sasa toka last weekend naona analalamika kuwa mimi simjali wala sijui kucare,nikamuuliza...
Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi?
Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet..........
Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
JE, WEWE UPO KATIKA HATUA IPI? HATUA ZA UKUAJI NA MAENDELEO KATIKA SAIKO-JAMII?
Anaandika, Robert Heriel
NOTE: Andiko hili ni Kwa ajili ya watu wote!
Andiko hili lafaa Kwa watu wazima kujitambua na kujua namna ya kukabiliana na Mabadiliko ya ukuaji wetu WA kiakili, kimwili na kitabia Kwa...
Kampuni ya Ukandarasi ya Rocktronic ya mjini moshi ni moja ya kampuni za ukandarasi zinazotajwa kupiga pesa zinazopaswa kutengwa na wakandarasi hao kwa ajili ya kutoa elimu ya kujikinga na mambuziki ya UKIMWI kwa jamii inayozunguka kwenye maeneo ya miradi wanayoitekeleza.
Iko hivi,fedha hizo...
Habari,
Nimetumia nafsi ya kwanza si kwamba Mimi ni trafiki , hapana bali nawasilisha mazungumzo tu niliyofanya na rafiki yangu mmoja ambaye sasa kahamia Trafiki kutoka kwenye kitengo kingine cha kipolisi hapahapa jijini Dar es salaam.
Huyu kijana ambaye anapenda sana maisha ya starehe...
Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’
Katika kujaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.