Habari nadhani wadau na wapendwa mnakumbuka niliandika uz hapa wa kuulizia pesa za kujikimu.
Thread 'Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022'
Dokezo - Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022
Sasa pesa wamewapa waajiriwa 2022 ila upigaji ni mwingi saana hususani...
UCHUNGUZI; TATIZO LA WALIOAJIRIWA NI UTEGEMEZI. USIMPE PESA MTU AMBAYE HAJAITOLEA JASHO
Anaandika, Robert Heriel.
Tatizo sio kuajiriwa, tatizo ni wategemezi, tatizo ni extended Family.
Tofauti ya mtu aliyejiajiri na aliyeajiriwa IPO kwenye utegemezi.
Waliojiajiriwa hawategemewi Sana...
Je, umekuwa upo katika hali ya kujiuliza unaweza kujifunza ujuzi gani ambao utakuingizia pesa ya kujikimu kila siku. Nakumbuka mwaka 2015 nilikuwa kama wewe nimekaa nyumbani bila ujuzi wowote na kushindwa hata kuingiza pesa ya kula. Ndipo kwenye pita pita zangu YouTube nikakutana na huu ujuzi wa...
Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana.
Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka.
Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
Habari JF,
Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country.
Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake...
Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza?
Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
Walengwa:
1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto
2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua.
aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
Tangu Tanzania ipate uhuru Kigoma wamekuwa wakitumia umeme wa Jenereta lakini serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kuiunganisha kigoma katika Grid ya Taifa na kufanikiwa kuzima majenereta yote ya Kibondo, Ngara na Biharamulo na kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa.
kwa kufanikiwa kuunga...
Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia.
Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka...
Habari wakuu?
Kuna issue moja ya jamaa yangu ameniomba ushauri,anasema mara kwa mara anazinguana na mkewe coz ya masuala ya pesa za matumizi ya nyumbani.anasema kwa sasa mkewe ni hana mishe yuko tu home.
Jamaa kila mwisho wa mwezi anahakikisha kanunua mahitaji yote muhimu ya home, ananunua...
Pesa sio kipimio sahihi cha uzalishaji wa vitu.
Chukulia mfano, mtu anaponda kokoto kwa kutumia mkono kwa siku 20 na kuweza kujaza tipa, na mwishowe analipwa laki 1; wakati huo huo mwingine ameudhuria kikao cha nusu saa tu, anapata laki 5; hii haiko sawa.
Mkulima anatumia muda mwingi kwenye...
Job Title: Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You drive adoption, penetration and ARPU of customers across all segments, products and services to ensure MTMSL meets its targets by designing and implementing strategies and initiatives that will help...
Job Title: Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You are responsible for revenue budget achievement, product development, portfolio management, pricing and segmentation as well as to provision of business analytics for the tigo pesa corporate business decisions...
PESA INAYOTAFUTWA KWA JASHO NA WAZAZI INAVYOGEUKA KILIO
Imeandaliwa na Tulibumi Richard Kasebele
”Sitaki wanangu wateseke kama mimi nilivyoteseka” ni kawaida wazazi kusema maneno haya kama hamasa kwao kufanya kazi jambo ambalo ni la msingi katika maisha, Pongezi nyingi ziwafikie wazazi...
Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao.
Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali
Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa...
Kuna njia mbalimbali za kuhifadhi vyakula ili visiharibike mapema vitufae kwa misimu mingine ambayo vyakula vinakuwa adimu sokoni na bei kuwa ghali au kutopatikana na pia kuokoa matumizi makubwa ya fedha na muda.
Mimi nitazungumzia njia za asili ambayo hazihitaji gharama na hata mtu wa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.