pesa

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali (NEMC na TCRA) kuna pesa za bure hapa wala msijiulize mara mbili

    Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato! Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota! 1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi! Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pesa za Escrow ni za umma au siyo za umma vs Pesa zilizotumika kuandaa filamu ya ROYAL TOUR (sh bilioni) 7 ni za umma au siyo za umma?

    Mjadala ulijitokeza miaka iliyopita kuhusu pesa za Escrow zilikuwa za umma au siyo za umma. Waliokuwa wanasema si za umma kimsingi walikuwa wanatetea upigaji wake na serikali isiingilie. Waliokuwa wanasema ni za umma walikuwa wanatetea maslahi ya umma ikizingatiwa kuwa zilikuwa zinahifadhiwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania *Wanyonge kweli hukosa haki kwa kutokuwa na subra na kutokuwa na pesa*

  5. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania panga budget yeyote kwa kiasi hiki cha pesa..ili iishe leo leo

    Hii pesa kama ni wewe inaishia kwenye nini na nini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

    Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea , yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

    Mbona mnakuwa kama watoto wadogo? Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa. Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA mmesahau usaliti na uroho wa pesa aliotufanyia Zitto miaka ile kisa tu anamchafua hayati JPM?

    Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua? Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
  10. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Lyyn: Sitaki mwanaume asiye na pesa

    Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume anayeweza kuwa naye.Katika mahojiano amefunguka haya:• "Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka...
  11. aise

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi pesa zangu ndani ya mwaka mmoja?

    Habari wakuu, nina uhakika wa kupata shilingi 5,000/= - 10,000/= kwa kila siku. Ni wapi hasa nitahifadhi shilingi hizi ndani ya miezi sita hadi mwaka na ziendelee kuwa salama? Nimejaribu kufikiria kufungua "ka akaunti labda benki" lakini kikwazo sina kitambulisho chochote cha kuniwezesha...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

    "Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha? Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
  14. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Benki zina kinga gani dhidi ya uchawi?

    Hakuna asiependa pesa (Hapo sasa nimekuwa semaji la binadamu wote), na kama yupo basi ana raha sana. Tutakubaliana pia, hakuna asiependa njia za mkato (shortcuts) za kurahisisha mambo. Njia mojawapo ya mkato ni kutumia uchawi kupata kile unachokitaka.... nimekua katika jamii ambayo inaamini ili...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu afafanue hizi pesa zimefanya nini?

    Bajeti ya mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge ukiondoa masuala ya kulipa deni la taifa na matumizi ya serikali ikiwemo kulipa mishahara ya Watumishi, kiasi cha Shilingi Trillion 4 zilitengwa kwaajili ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa na vituo vya afya. Baadaye tukapata...
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pesa ni shortcut ya kumpata mwanamke, lakini kuhonga ni kujaribu kuficha udhaifu

    Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU. Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake. Ukiona unahonga sana ili upendwe jua wewe ni dhaifu, wajanja wanakula pesa zako Povu ruksa
  17. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wasaidie Wafanyakazi wa Mloganzila wapate pesa zao za madai ya UVIKO-19

    Mheshimiwa Waziri wa Afya, nikiwa kama "collateral" ambaye nina ndugu yangu anayefanya kazi pale Mloganzila Hospitali, naomba nikufikishie taarifa kwamba wafanyakazi wa pale hawajalipwa posho za UVIKO-19 (Risk Allowances) hata za wimbi 1 japokuwa hizo pesa mlishazilipa kulingana na tangazo...
  18. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

    Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo! Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako...
  19. Rakims

    JamiiForums Tanzania Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

    Ni matumaini yangu wote ni wazima na mpo salama kabisa, Leo nataka niwafundishe jambo kuhusu jini/shetani huyu ambaye baadhi ya watu wengi wanamtumia katika kujitajirisha na kuweza kuwanufaisha na kupata mali,pesa,majumba ya kifahari ikiwa ni pamoja na mafanikio mbali mbali katika miujiza ya...
  20. JF Member

    JamiiForums Tanzania Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

    Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi?
Back
Top Bottom