Mahusiano yangu sikuwahi kuyaendesha kwa pesa

Z K Ahmad

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
29
Reaction score
36
Ndio sikuwahi lakini Sasa naona kabisa yanahitaji pesa_.

Hapo awali pesa zilipokuwa hazikauki mifukoni mwangu_ nilikuwa sioni haja yakuzitoa kwa mwenzangu kwakuwa alikuwa sio wakuomba_ lakini penye ulazima nilizitoa ili afurahi_

Sasa ni katika kipindi ambacho, sio Mimi Wala yeye Kama vijana tunahitaji kuyaanza maisha (yaani kuingia Kwenye ndoa) najitahid kutafuta kazi Lakini pia Mambo yanagoma_ na kila nikimjulisha kuwa Bado Mambo hayajakaa sawa_ Huwa anaumia mno_.

Hivi unanishauri Nini juu ya Hilo nampenda na sihitaj kumpoteza_ Lakini changamoto Ni kipato tu_... Sijakata Tamaa Kwenye kutafuta lakini Kuna Wakati nakosa tumaini
images.jpeg-39.jpg
 
Mkuu tafuta Hela kwa ajili ya maendeleo yako binafsi,,,,usiwekeze sana akili yako kutafuta pesa ili tu Usimpoteze huyo Mrembo,,,,,,Nasisitiza tena tafuta kwa ajili yako.....

Unaweza kuzipata na bado ukampoteza pia.... Huu ushauri unalenga kukupunguzia Msongo wa mawazo, sonona n.k...

Na huu ndio wakati wa kuwekeza akili zako na nguvu kutafuta namna ya kujiokoa kiuchumi,,,na sio kuwaza Mapenzi...,,, USIJIPE STRESS Wale walio wako mtapita nao pamoja kipindi hiki cha msoto,,na wasio wako pia watajichuja...

Usikate tamaa,,,endelea kutafuta Michongo....

Be a Man
 
Usichoke kupambana utapata tu.

Hivi unanishauri Nini juu ya Hilo nampenda na sihitaj kumpoteza_ Lakini changamoto Ni kipato tu_... Sijakata Tamaa Kwenye kutafuta lakini Kuna Wakati nakosa tumain
Kukata tamaa ukiwa hai ni dhambi.
 
Mkuu tafuta Hela kwa ajili ya maendeleo yako binafsi,,,,usiwekeze sana akili yako kutafuta pesa ili tu Usimpoteze huyo Mrembo,,,,,,Nasisitiza tena tafuta kwa ajili yako..... Unaweza kuzipata na bado ukampoteza pia.... Huu ushauri unalenga kukupunguzia Msongo wa mawazo, sonona n.k...

Na huu ndio wakati wa kuwekeza akili zako na nguvu kutafuta namna ya kujiokoa kiuchumi,,,na sio kuwaza Mapenzi...,,, USIJIPE STRESS Wale walio wako mtapita nao pamoja kipindi hiki cha msoto,,na wasio wako pia watajichuja...

Usikate tamaa,,,endelea kutafuta Michongo....

Be a Man
Kama atashindwa kumuelewa na hapa basi ntaamini kweli mapenzi upofu
 
Mkuu tafuta Hela kwa ajili ya maendeleo yako binafsi,,,,usiwekeze sana akili yako kutafuta pesa ili tu Usimpoteze huyo Mrembo,,,,,,Nasisitiza tena tafuta kwa ajili yako..... Unaweza kuzipata na bado ukampoteza pia.... Huu ushauri unalenga kukupunguzia Msongo wa mawazo, sonona n.k...

Na huu ndio wakati wa kuwekeza akili zako na nguvu kutafuta namna ya kujiokoa kiuchumi,,,na sio kuwaza Mapenzi...,,, USIJIPE STRESS Wale walio wako mtapita nao pamoja kipindi hiki cha msoto,,na wasio wako pia watajichuja...

Usikate tamaa,,,endelea kutafuta Michongo....

Be a Man
Dah ndugu ulikuwa wapi siku zote' Yaan yamenifungua haya machache yenye uzito wake
 
Ndio sikuwahi lakini Sasa naona kabisa yanahitaji pesa_.

Hapo awali pesa zilipokuwa hazikauki mifukoni mwangu_ nilikuwa sioni haja yakuzitoa kwa mwenzangu kwakuwa alikuwa sio wakuomba_ lakini penye ulazima nilizitoa ili afurahi_

Sasa ni katika kipindi ambacho, sio Mimi Wala yeye Kama vijana tunahitaji kuyaanza maisha (yaani kuingia Kwenye ndoa) najitahid kutafuta kazi Lakini pia Mambo yanagoma_ na kila nikimjulisha kuwa Bado Mambo hayajakaa sawa_ Huwa anaumia mno_.

Hivi unanishauri Nini juu ya Hilo nampenda na sihitaj kumpoteza_ Lakini changamoto Ni kipato tu_... Sijakata Tamaa Kwenye kutafuta lakini Kuna Wakati nakosa tumainiView attachment 2308188

Usitafute pesa kwa kufosiwa na mtu especially mwanamke utaumia
 
Back
Top Bottom