Kwa vijana (wa kike na wa kiume) ni kawaida kuwaza kuwa nguvu ya mapenzi ni kwa mtu kuwa na mwili wenye kuvutia ama kuwa na pesa au vitu vya thamani vinavyotamaniwa na wengi. Lakini ushahidi unaonesha kwamba, mapenzi yaliyodumu na kuwapa raha wahusika, yalijengwa zaidi kwa akili na siyo kwa Pesa...
Ni mwanamke wa kihaya.
Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu.
Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan na kuhakikisha hanimalizi Kabisa. Maana anataka vitu vikubwa vikubwa gari nk
Leo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo.
Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema...
1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali.
2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona...
So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but.
Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu...
Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu.
Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha.
Tukio lenyewe...
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota.
Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza.
Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe.
Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
Wasalaam wanajukwaa!
Na Gregory Jumbe Mahanju,
Nataka kutuma ujumbe kwa wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Waziri wa TAMISEMI Ndg Angela Kairuki, Katibu mkuu wa TAMISEMI,Mkuu wa mkoa wa Singida ndugu Petter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jery Cornel Muro ya kwamba Pesa...
MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa Mpanda kuanzia tarehe 31-08-2022. Wiki moja baada ya kuanza majukumu yake mapya...
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi.
Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza mechi ya leo!
Pesa, noti za Tanzania zina printiwa Ujerumani.
Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao.
Chanzo: DW
Nchi za afrika na chapa za fedha
Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu.
Mwengine hujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo simu yake Oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k. Hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.