pesa

  1. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Pesa inayotafutwa kwa jasho na wazazi inavyogeuka kilio

    PESA INAYOTAFUTWA KWA JASHO NA WAZAZI INAVYOGEUKA KILIO Imeandaliwa na Tulibumi Richard Kasebele ”Sitaki wanangu wateseke kama mimi nilivyoteseka” ni kawaida wazazi kusema maneno haya kama hamasa kwao kufanya kazi jambo ambalo ni la msingi katika maisha, Pongezi nyingi ziwafikie wazazi...
  2. Profit_Habari

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini huduma ya taarifa za pesa kuingia au kutolewa kwe bank account imeondolewa

    Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia za asili kuhifadhi vyakula kuokoa pesa na muda

    Kuna njia mbalimbali za kuhifadhi vyakula ili visiharibike mapema vitufae kwa misimu mingine ambayo vyakula vinakuwa adimu sokoni na bei kuwa ghali au kutopatikana na pia kuokoa matumizi makubwa ya fedha na muda. Mimi nitazungumzia njia za asili ambayo hazihitaji gharama na hata mtu wa chini...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  7. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kupanga kiwango cha kodi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Baba mkwe Shahidi wa Yehova kakataa mahari ya pesa, anataka apelekewe magovi matano ya watu wazima

    Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi. Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa) Kwa...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapare ni wabahili wa kutunza pesa lakini pesa wanayoibana hawapendi kuiwekeza izae zaidi?

    Mpare anaweza kutunza hela lakini kinachomshinda ni kwenye kutoa hela kuwekeza. Mpare anapenda hela kuitazama tu mfukoni ndio furaha yake na sio kuitumia kumzalishia. Wapare wengi ukikuta wana maendeleo labda ni kupitia ajira kwenye mishahara ama upigaji, ni nadra sana kuwakuta wameumiza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Diamond amempa nini shetani mpaka kapata pesa nyingi sana na umaarufu wote huo?

    Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna uhusiano kati ya pesa na uwezo darasani

    Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri. Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba...
  13. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Huwa tunawaambiaga watu waache fikra za kimaskini kuhusu mataifa ya magharibi ,jamaa wameshusha zigo la trillion zaid ya mia,kibongobongo tunaila miaka 3. Huwa nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wanawachukulia poa sana haya mataifa ya west,kiufupi hawa jamaa walishaendelea sana kimaisha...
  14. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

    Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi. Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

    Karibuni niwe wakala wenu, Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa. Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka. Ahsanteni
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  18. the_diplomat

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kitu kipi ambacho serikali inakifanya kisichotegemea kodi? Kwa nini watoa kodi, tunanunua huduma zetu wenyewe?

    Mtanzania, umewahi kujiuliza kuwa, vioongozi wa serikali, wafanyakazi wote wa umma, v8, na magari yote wanayotumia viongozi, hospitali na madawa yake, majengo ya shule, vyuo na vifaa vyote, miundo mbinu yote, maofis yote ya serikali n.k, matokeo ya hayo yoote ni kodi ya watanzania Maswali ya...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
Back
Top Bottom