Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,710
Reaction score
18,007
Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU

leo nmemfunza kitu huyu bodaboda.

Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa.

Alivyokata nikamtumia sms nikamwambia "Najua una imani yako lakini angalia na maisha yako, bei ya mafuta imepanda, badala ya elfu 2 mimi naongeza sifuri nakupa elfu20 tupeane sapoti kipindi hichi petrol ipo juu"

Baada ya message kua delivered boda alinipigia chap akaniambia 'nikaichukulie wapiii kaakaaa!" Nikamuelekeza akaenda!

Mbona alienda na akaleta kitimoto vizuri tuu na kibarakashia kichwani, tena na shukran nyingi kwa kumpa pesa ndefu!

Acheni hizo
 
Hahahaaaaa!!!
 
Imani na pesa ni changamoto.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Pale SUA kama umeenda kusomea elimu yoyote ile inayohusiana na mifugo, basi ujiandae kuwahudumia hao jamaa pasipo ubaguzi wa imani yako. Na Masheikh wengi waliopita SUA kubukua ni mashahidi.
 
Kuna wale wasabato, Ikifika Ijumaa jioni, Kama kuna mzigo unamfanyia derivery - Haupokei kwa sababu sabato imeanza..

Nilistaajabu kwa kweli.
Kaka umenikumbusha wasabato nilio kua nafanaya nao kazi wanamsemo wao eti kupumzika, utasikia, sifanyi kazi ingine naenda kupumzika hahahah
 
Mbona alienda na akaleta kitimoto vizuri tuu na kibarakashia kichwani, tena na shukran nyingi kwa kumpa pesa ndefu!
Hukumuuliza vipi umeonja? Akajibu hapana kaaakaa haya onja finyango 7 kila finyango nakupa 1,000 angalia mafuta yamepanda hii 7,000 ndio wanayopewa wale vijana wa Lumumba vipi unachukua finyango au unaacha? Akajibu aah sawa kaaakaa leta nipige wewe ukitaka hata 10 mimi napiga mjini kikubwa heka leta niipige hio kitimoto kaaakaaa.. akakaa chini akaanza kuipiga kitimoto, nikamuuliza kwani finyango zote zipo ngapi? Akahesabu kuna finyango km 25 kaaakaa sawa basi piga finyango zote nakupa 25,000. Akasema sawa kaaaka wewe niandalie hio 25 namaliza hii mboni sio nyingi vipi naweza kufuata nyingine kaaaka?
 
😁
 
Naona kama umetafuta vita ya wazi wazi na wazee wa kobazi

Jiandae kwa matusi ya kila aina
 
Uzi wa kichokozi utarushiwa guruneti Sasa hivi kutoka lebanon
 
Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU

leo nmemfunza kitu huyu bodaboda.

Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa.

Alivyokata nikamtumia sms nikamwambia "Najua una imani yako lakini angalia na maisha yako, bei ya mafuta imepanda, badala ya elfu 2 mimi naongeza sifuri nakupa elfu20 tupeane sapoti kipindi hichi petrol ipo juu"

Baada ya message kua delivered boda alinipigia chap akaniambia 'nikaichukulie wapiii kaakaaa!" Nikamuelekeza akaenda!

Mbona alienda na akaleta kitimoto vizuri tuu na kibarakashia kichwani, tena na shukran nyingi kwa kumpa pesa ndefu!

Acheni hizo
Mwishoni mwa mwaka jana walijikuta hivyo hivyo et muslim
 
Back
Top Bottom