KERO Walimu Halmashauri ya Mkinga -Tanga hatujapewa Pesa ya Kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu tushasaini lakini mpka Leo ni Hamna , mbaya zaidi Halmashauri zingine washapewa Pesa hizo
 
Nyie kenge Tena mtulie kabisa,si mlikua mnaiba kula na ccm Sasa kaeni kwa kutulia Tena msije lipwa kabisa miku.du nyie
 
Msalala,Geita,Mkinga Mwigulu unasubiri nini kufukuza DED wa hizo halmashauri
 
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
 
Je baada ya kuandika huu uzi je? Mmepewa posho za kujikimu??
 
Hao ndo wateule wa Mama yenu sasa mliemchangia fomu.
 
Back
Top Bottom