Mbunge wa Singida Mashariki mh Miraji Mtaturu amesema Tundu Lisu amerejea alikokuwa kimya kimya Baada ya kuona Wana wa Ikungi wameshaachana na mambo ya Upinzani
Mtaturu amesema hata Mbowe alishangaa kukuta Wapinzani kiduchu Ikungi hali iliyofanya amuhiji Tundu Lisu " Ulisema Ikungi kuna...
Yaani ili kupata namba ya ushindi huwa wanatumia mechanism gani ku’roll the dice’?
Yaani mtu anaibuka tu anakwambia tunamoigia mshindi, from nowhere! Akimpigia mtoto wa mjomba wake je? Hakuna transparency kama ya sports betting, ambapo goli likifungwa kila mtu analiona na hakuna ujanja ujanja...
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.
Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
Nimehudhuria kliniki kwa ajili ya mwanangu kwa miaka miwili sasa sijawahi kukutana na elimu ya malezi ya aina yoyote ile kwenye hii kliniki, kinachofanyika ni kupima uzito mtoto au kuchomwa sindano ya chanjo kwa mtoto tena bila maelezo ya kwa nini mtoto apate chanjo wala umuhimu wake.
Sote...
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani.
Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
Huwezi ukalinganisha goli la ugenini na la home stadium. Ukweli ni huo lazima mamlaka iliangalie hili.
1. Mathematics haiwezi kuwa sawa na Language.
2. Visa ya USA haiwezi kuwa sawa na ya Rwanda.
Sasa Kwa kuliona hilo naishia hapa. Muwe na usiku mwema wakuu.
Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu
Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki
Huu ni uzandiki wa kisiasa.
Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !!
Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali.
Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
Habari wanajukwaa,
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua.
Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa
Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama
Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
Jana baada ya kusoma sms ya M-Pesa imethibishwa umepokea… kama shukrani.
Nilipokea simu ya mteja wangu akiwa na furaha kweli. Furaha yake ni baada ya kusikia maneno aliyokua anasubiri kuyasikia kutoka kwa mpenzi wake. Lakini kabla ya hapo hebu nikushirikishe kisa chake ili nawe upate kujifunza...
HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE MZURI, MWENYE ELIMU NA PESA ALAFU AWE ANAKUPENDA.
Anaandika, Robert Heriel
Ooh! Sitaki Mwanamke mwenye Elimu,
Ooh! Sitaki Mwanamke anayejiweza kiuchumi,
Hivi mmelogwa? Au hamjiamini!
Hakuna kazi ngumu kama kuishi na Mwanamke asiye na Elimu yaani mjinga.
Na...
Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka.
Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni...
Habari za jioni, tunashukuru Mungu kwa uzima aliotupa.
Katika ulimwengu huu tunaoishi katika dunia ya utandawazi ambayo imeonekana imejitosheleza katika kila sekta, ila kuna taasisi moja kubwa sana ambayo ni Nndoa, taasisi hii inaundwa na mwanamke na mwanaume matokeo ya muda mrefu hadi mfupi...
KAMA UNATAFUTA PESA TAFUTA PESA,
MAOMBI OMBA AFYA NJEMA NA UONGOFU
1. PAMBANA UWEZAVYO PESA HAINA MWENYEWE NAWE UNAWEZA KUWA MILLIONEA.
2. MATAJIRI WANAUSISHWA NA USHIRIKINA KWA KUWA PESA IKO NA MAMBO MENGI, HII INAFIKIRISHA LAKINI SIO KILA TAJIRI ANAJIHUSISHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA HAPANA.
👉...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.