pesa

  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Habari zenu wana nzengo? Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala yake wako busy na kuhudumia michepuko. Wanaume wa leo wengi hawasomeshi watoto, watoto wanasomeshwa na...
  2. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Pesa pekee haileti mafanikio ya timu, mbinu za kocha pia zinahitajika

    Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni. Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
  3. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa?

    Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
  4. Gavinci

    JamiiForums Tanzania Je, nawezaje kujikwamua kwa Vifaa hivi na kiasi cha pesa?

    Habari zenu wakuu, Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata muongozo. Hapa nilipo nina freezer boss lita150, nina kabati la vioo yale ya chips saiz ya kati, nina...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  6. HabariTech

    JamiiForums Tanzania Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Kama umewahi kujaribu kuanzisha biashara wewe mwenyewe utakuwa unaelewa ilivyo ngumu kuanzisha biashara yenye mafanikio. Aina ya biashara unaweza kuanzisha ni nyingi mno, kiasi kwamba wengi huwa hawajui wanaanzia wapi. Tukiongelea creators kama graphics designers, wanapoanza huwa wanakubali kazi...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Pesa za wanaofariki zilizopo kwenye mitandao ni manufaa kwa mitandao tu? Sidhani kama watu hufatilia

    Hivi hizi pesa tunazoweka kwenye simu ikitokea umefariki hivi kweli kuna watu wanapata wakati kweli kufatilia pesa za marehemu kwenye simu maana naona kama hizi hela zinapotea kabisa. Sijui kuna utaratibu gani uwe mzuri na ushauri namna gani ifanyike.
  8. Mama pretty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninapenda pesa

    Wakuu, husika na kichwa cha uzi. Siku hizi ninapenda pesa sanaaaa yaaani nikiikosa nahisi kuchanganyikiwa kabisa. Kama ni watoto nitawafokea kwa vitu vidogo vidogo na ninaweza nisielewane na wengine kabisa kwa sababu ya kukosa pesa.. Ila nikiipata sasa.. weweeee😋😋😋 nakua nna mahabah hatari na...
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Pesa na Vifaa vyaibwa Manzese

    Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu. Eneo lenyewe liko Manzese...
  10. Lil bees

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa pesa za kujikimu waajiriwa 2022

    Habari nadhani wadau na wapendwa mnakumbuka niliandika uz hapa wa kuulizia pesa za kujikimu. Thread 'Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022' Dokezo - Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022 Sasa pesa wamewapa waajiriwa 2022 ila upigaji ni mwingi saana hususani...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi; Tatizo la walioajiriwa ni utegemezi; usimpe pesa mtu ambaye hajaitolea jasho

    UCHUNGUZI; TATIZO LA WALIOAJIRIWA NI UTEGEMEZI. USIMPE PESA MTU AMBAYE HAJAITOLEA JASHO Anaandika, Robert Heriel. Tatizo sio kuajiriwa, tatizo ni wategemezi, tatizo ni extended Family. Tofauti ya mtu aliyejiajiri na aliyeajiriwa IPO kwenye utegemezi. Waliojiajiriwa hawategemewi Sana...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tengeneza pesa kwa ujuzi wa kurekebisha simu

    Je, umekuwa upo katika hali ya kujiuliza unaweza kujifunza ujuzi gani ambao utakuingizia pesa ya kujikimu kila siku. Nakumbuka mwaka 2015 nilikuwa kama wewe nimekaa nyumbani bila ujuzi wowote na kushindwa hata kuingiza pesa ya kula. Ndipo kwenye pita pita zangu YouTube nikakutana na huu ujuzi wa...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

    Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama una pesa usithubutu kumpeleka mwanao shule ya serikali

    Shule za serikali sio shule, watoto huku ndiyo wanapoanza kuharibika kitabia. Walimu wengi wanachojua ni kupiga viboko na matusi. Narudia usithubutu!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia kichekesho cha TRAB na TRAT tukumbuke trilioni 360 ni pesa nyingi sana

    Habari JF, Nimeona niwakumbushe Watanzania wenzangu maana asilimia kubwa tumezoea kushabikia vitu visivyo vya msingi. Triloni 360 ni pesa nyingi sana zinaweza kututoa tulipo kuwa donor country. Hivyo tusiishie kushare video na kucheka bali ni vizuri tufuatilie kwa umakini tuone muenendo wake...
  16. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Serekali ya CCM mjitafakari upya, yaani kirahisi tu, kuachana na madai ya matrilion ya pesa mnakimbizana na tozo

    Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza? Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yaokoa mabilioni ya pesa Kigoma

    Tangu Tanzania ipate uhuru Kigoma wamekuwa wakitumia umeme wa Jenereta lakini serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kuiunganisha kigoma katika Grid ya Taifa na kufanikiwa kuzima majenereta yote ya Kibondo, Ngara na Biharamulo na kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. kwa kufanikiwa kuunga...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pesa pamoja na vyeo hupita, kama unabisha waulize watu wa sensa

    Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia. Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka...
Back
Top Bottom