pesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
  3. JamiiForums Tanzania CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

    Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu. Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

    Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    Ndugu WanaJF, Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja. Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti anayedhalilisha pesa ya Tanzania na huyo anayemhonga wachukuliwe hatua

  7. JamiiForums Tanzania Kupata Pesa Mkondoni Uhakika 100%

    Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi unayofanya. Unda tovuti au blogu. Ikiwa unataka kupata pesa mkondoni, utahitaji kuwa na uwepo...
  8. JamiiForums Tanzania UDSM pitieni upya mfumo wa wanafunzi kusaini pesa ya kujikimu

    Habari wakuu, moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost. Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje pesa ingepatikana kirahisi kama inavyopatikana Ngono

    leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia...
  10. JamiiForums Tanzania Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuishi kwa amani usipungue kiwango hiki cha pesa

    gharama za maisha zimepanda , kiasi cha kwamba tunaondelea kuishi kwenye mzunguko ule ule tunaishi maisha Magumu sana nimejaribu kufanisha gharama za maisha kwenye nchi nilizopita , nilichokiona maisha yamepanda kila kona, na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kulala njaa kwa kukosa pesa ya kula? Ulifanyaje?

    Hii ilinitokea kati ya mwaka wangu wa 2 na wa 3 wa chuo kikuu. Nilifanya kibarua cha kuhudumu kwenye mgahawa kila nikitoka chuo ili kujikimu na mahitaji yangu ya chuo, Pesa ilikua ngumu sana. Nilijiskia aibu ila ilibidi nifanye kile nilichokifanya ili niweze kuishi. Kuna muda nilikua nakusanya...
  13. JamiiForums Tanzania Mo asituvuruge Pesa yote aliyotoa usajili msimu huu ilimnunua kipa 1 tu Ayoub

    Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka CAF. Bilion 2.5. Kuona usajili umekamilika bila kutia ela yoyote. Akaagiza akina jaribu tena...
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi kaonyesha kipaji kwenye Muziki wa Taarab. Ana pesa zake nyingi kwenye Muziki wa Mwambao

    Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia na ukwapuaji wa matrilioni ya pesa za walipa kodi

    MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna kampuni za Ubashiri zinachelewesha Pesa za washindi?

    Mambo vipi Mdau, Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi anisaidie, Maana mi kampuni ninayotumia huku ni mtelezo tuu naweka pesa na kutoa. Unyama wa Sokabet huu...
  19. JamiiForums Tanzania Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
  20. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha mvua hakikisha unampa pesa mara tatu zaidi ya ulivyozoea, ushindani umekuwa mkali sana

    Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…