pesa

  1. Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  2. Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

    Ukitaka kujua maana ya halisi ya pesa au mtu anayeishi maisha ya kifahari basi nenda kamtazame Floyd Sinclair Joy Mayweather Jr. Huyu jamaa hakupewa nickname ya "Money" kwa bahati mbaya ana deserve jina na analitendea haki sana. Baada ya kufanya kufuru ya matumizi huko S.Africa kuna hatihati...
  3. Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
  4. Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  5. Ukipata pesa hakikisha unatulia nyumbani kwako

    Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso. Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu. Hizi hadithi za...
  6. Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  7. Umakini unahitajita sana unapotaka kuanzisha biashara ili kuepuka kuchoma pesa zako

    Wana jukwaa habari zenu! Leo ningependa kushare nanyi kitu ambacho nimekiona ktk ka utafiti kangu kadogo kuhusu biashara nyingi za maduka ya nguo na saloon ama za kiume au za kike kufa kifo Cha mende.(hasa kwa maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mji) Nimekuja kugundua watanzania walio wengi...
  8. Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

    Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi. Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
  9. Sawadogo Hajapewa Chake, Atishia Kufungua Kesi. Pesa ya Kumnunua Miquisine Itoke Wapi?

    Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu wachambuzi mlimpamba Sana wakati anakuja sasa hivi mpambanieni apate haki yake. Mumemuomba apunguze hela...
  10. Dunia ilivyochafuka kuna wakati unatamani umsaidie mtu pesa ila unaogopa

    Unamwona mtu kakwama ila ukimsaidia unaweza ukahisiwa wewe ni shoga unamwaga pesa ili uingiliwe. Au unaweza kuhisiwa wewe ni basha unamsaidia mtu ili umpachike. Kwa upande wa wanawake ndo naogopa sana, ukimsaidia bila kukuomba au hata akikuomba atahisi unamtaka kimapenzi. Wazee sometimes...
  11. Kumbe tumetanguliza Kutoa Jezi zetu Mbaya ili tupate Pesa ya Usajili?

    Na mpaka sasa Jezi zimedoda katika Maduka mengi na kuna uwezekano zikashushwa Bei hadi Kuuzwa Shilingi Elfu Tatu ( Tsh 3,000/= ) ili tupate Pesa za Kumalizia Deni la Kocha Mbelgiji ili FIFA wasitufungie kabisa Kusajili na kwa upande wa Wachezaji waliobakia ( ila tunawahitaji ) na wale Wapya...
  12. Tusidanganyane hakuna anayependa kubaki Tanzania Pre Season, ukweli ni kwamba hatuna Pesa

    Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
  13. Wana Yanga SC hatutaki Kudanganywa na Pesa za Bonasi za SportPesa tunataka 'Vyuma' Kusajiliwa kama vya Simba SC

    GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
  14. Yanga yalamba bonus ya Tsh. Milioni 480 kutoka SportPesa

    Yanga yalamba bonasi ya milioni 405, kutoka Sportpesa, kwa kumaliza Mabingwa wa Ngao ya jamii, Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho bara na kufikia hatua ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la Shirikisho la soka barani Afrika CAF.
  15. Shairi: Kama hamtaki ndoa, Rudisheni Pesa Zangu

    Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani, Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani, Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani, Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu. Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu, Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu, Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu, Kama hamtaki ndoa...
  16. Vikontena / vifuko vya kuwekea pesa za mauzo havitoshi ama nafasi inbaki, Naweza kupata wapi vimifuko ama container vya kimo nachohitaji

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
  17. DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  18. Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  19. Niagize China, angalia wanavyopiga pesa

    Hawa wadada wanaojitangaza kuwa wanakuletea mzigo toka China huwa wanapiga pesa ndefu. Hizi mishe walizianza akina Faiza Ally. Kwa sasa wamekula wengi hasa wadada. Iko hivi, wao wanaenda China au wengine wanakua hapa bongo lakini kule anakua na Mchina anaye muamini tayari. Sasa anachagua...
  20. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua Mfanyabiashara Mkubwa

    ✍️✍️✍️ Mnao ni uliza utajiri na pesa nime pataje 👉 👉 Niulizeni na ule Umaskini Nili Utoaga wapi 🙏🙏🙏 Fisi hafi Kwa shida Kichwa cha habari hapo juu sio maneno yangu Mimi ni caption ya what's up status ya Moja ya wapwa wangu. Kutoka kusukuma mkokoteni na kubeba magunia sokoni mpaka kua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…