pesa

  1. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakumalizia pesa lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?

    Ni kitu gani kinakumalizia pesa mara kwa mara lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asema pesa za kujenga ofisi ya CHADEMA zimetolewa na Rais Samia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema. "Wenzetu wa CHADEMA wanasema eti maridhiano yaliyoletwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan eti hayana faida yoyote na...
  3. JamiiForums Tanzania Mnapenda Pesa anazotoa Rais katika makanisa yenu lakini mnachukia misimamo ya viongozi wa makanisa yenu huu ni upumbavu

    Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini. Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa dini hizi mbili Ukristo na Uislam. Sio kweli kuwa Tanzania hakuna udini kama katiba inavyosema...
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Benki kuu ya Tanzania(BOT) ni kweli mnalipa pesa za nauli kwa ubaguzi? Walimu wa Halmashauri ya Tunduru hatujalipwa tokea mwaka jana

    Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru tunaambiwa maombi yenu tulishayapeleka BOT. Kwanza nataka...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  6. JamiiForums Tanzania Namna gani ya kutengeneza pesa kwa kijana asiye na ajira ya kuajiriwa

    Habari wandugu, Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
  7. JamiiForums Tanzania Hello , nipeni muongozo wa kupata pesa za mkopo wa hazina kwa mtumishi wa umma.

    Natanguliza Asante
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

    Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa. Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa. Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai...
  9. JamiiForums Tanzania Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna utajiri wa nguvu za giza?

    Hi ndugu, Naambiwa sana na kusoma simulizi kuwa mganga wa kienyeji anaweza kumuwezesha mtu kupata utajiri. Utajiri tena wa pesa taslimu (CASH) noti tupu. Kwamba unaenda kwa mganga na ukitoka tayari unazo, unatoka na maburungutu ya kutosha kwenye mfuko (begi). NAOMBA anayejua anijuze kwamba JE...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mpina: Hizi fedha za kununua mitambo na vifaa vya kuongeza ukubwa wa makalio zimetoka wapi wakati MSD imekosa mtaji?

    "Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Jumla ya pesa zote Benki ni shilingi ngapi?

    Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na kiasi gani. Hii itasaidia kuweka wazi hata Kwa sheria kwamba kila mtu nchini Tanzania anatakiwa kumliki...
  13. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Pesa za Kununua Mashine za Kuongeza Makalio Mloganzila zimetoka wapi?

    "Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao uhaba mkubwa wa raslimali fedha katika kutatua matatizo ya huduma za afya, mfano leo ni zaidi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana usijaribu kumsaidia binti jambo lolote au kiasi chochote cha pesa kama huyo binti si ndugu yako

    Kichwa cha habari kinahusika. Ni nature ya Dunia wanawake ni watu wabinafsi, hasa hawa wadada. Hawana cha kukupa zaidi ya UTI Hawana shukrani Wakikutana na msaada mwingine anaanza kuusahau msaada wako anaanza kumwazia yule wa pili, tatu n.k Saidia wazazi wako au ndugu zako wa damu, huo ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
  19. JamiiForums Tanzania Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

    Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema...
  20. JamiiForums Tanzania Mapenzi bila pesa magumu

    Ndugu zangu wa kiume hivi ni kwangu mimi tu au na nyinyi inawakuta manaa dah nina mpenzi japo sina uhakika kama ni wangu kweli ila nisipompa pesa naona kabisa uchangamfu wake kwangu unapungua kabisa, hata simu kupiga haoigi anakuwa busy na sababu kibao na sio huyu tu ni demu wapili napata yupo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…