pesa

  1. Kuishi Dar es Salaam uwe na akili ya kutafuta pesa

    Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa. Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida...
  2. Stick with one skill au Jifunze Multiple skills ili upate pesa

    Stick with one skill au Jifunze Multiple skills ili upate pesa. Hii kauli inachanganya watu wengi sana wanaamini kwamba inabidi wajifunze skills nyingi sana. Uhalisia ni unaweza ukajifunza skill moja lakini ukatumia njia tofauti kupata pesa. Nitakuonesha how👇👇 Unaweza ukajifunza skills hata...
  3. K

    PreGE2025 Tusikubali pesa itumike kwenye chaguzi ambazo tunajua kura zetu hazina maana

    Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda...
  4. Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  5. Njia 5 za Kutengeneza Pesa na Canva

    Utangulizi Canva ni zana yenye nguvu sana kwa wale wanaopenda ubunifu. Ukiwa na kipaji cha kubuni, unaweza kutumia Canva kama chanzo cha mapato. Iwe unatafuta biashara ya pembeni au njia ya kutengeneza pesa kamili, Canva inakupa fursa nyingi. Hapa chini kuna njia tano unazoweza kutumia Canva...
  6. Azampesa vs Selcom Pesa. Msaada tafadhali.

    Salamu wadau, kwema? Nilikuwa nataka kujua hizo huduma hapo juu, Kwa anayetumia. Yupi yup ahead zaidi ya mwenzie? Wapi Kuna makato nafuu? Nasoma komenti
  7. Arusha Technical College mnachezeamuda na pesa za watu

    Ukistaajabu ya Musa...Arusha Technical College ni kati ya vyuo Bora na vyenye sifa nzuri hasa kwenye swala la ufundi ndo maana serikali imeipa pia jukumu la kufundisha madereva na kutoa vyeti vinavyotambukilika na serikali. Ili kuwezesha hili ATC inapaswa kusajiliwa katika mfumo unaounganisha...
  8. M

    Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi

    Dunia imebadilika sana Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi. Kayumba mwenye ujuzi anaingiza pesa kuliko english medium mwenye divison 1
  9. Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  10. Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa na YouTube — Mwongozo wa Kuanza YouTube ni moja ya njia bora za kutengeneza pesa mtandaoni, lakini wengi hawajui pa kuanzia. Kama unatafuta njia ya kuanza kutengeneza kipato kupitia YouTube, basi makala hii ni kwa ajili yako! 1. Chagua Niche Yenye Fursa Sio kila video...
  11. Kwanini unahisi umetapeliwa pesa yako uliyoitafuta kwa tabu sana kwenye kampeni ya tone tone ya CHADEMA?

    Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa? Je, ni kwasababu umeona...
  12. Chalamila: Ukitaka kuongeza Mke Dar leta bank statement, Pesa ipo?

    Wakuu Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam? Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
  13. Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

    Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi. Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
  14. Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
  15. W

    Ni situation gani ilikufanya utambue kuwa lazima utafute pesa hata iweje?

    Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule. Nikafika...
  16. Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

    "Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk "Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi...
  17. Wakristo wengi wanadanganywa kuwa kupeleka pesa na mali kanisani ndio kumtolea Mungu sadaka!

    Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka. Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
  18. Wanaume Tafuteni pesa, ukiwa na pesa utaitwa babes hata uwe na miaka 90

    Rod Stewart akiwa na mke wake Penny Lancaster, walikua wanahudhuria harusi ya mtoto wa Rod na mke wake wa awali Rachael Hunter. Pamoja na pesa zote lakini Penny ameshindwa kununua decent dress for the wedding.
  19. Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
  20. Skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.

    Hizi ni skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa. Kwa kutumia AI Agency, usipojiongeza mapema utapunguziwa mshahara au utafukuzwa kazi Ai agent ni nini...? Hizo skills ni zipi..? Kitakachochukua kazi yako sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…