pesa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

    Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho. Ujumbe huu hapa chini " DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO. NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA. PUUZIA TU...
  3. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  4. blogger

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya kuigiza. Yani unatumia pesa nyingi kuigiza uongo. Kitu ambacho hakipo

    Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo. Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl. Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is it fair kumhukumu mdada kwa kutaka kuwa na bwana mwenye pesa zaidi?

  6. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi pesa

    Nilimpenda kwa dhati. Sio kwa sababu ya uzuri wake tu, bali kwa namna alivyonifanya nihisi – kuwa mimi ni wa thamani, hata nilipokuwa sina kitu. Lakini mapenzi peke yake hayakulisha njaa, hayakulipa kodi, hayakunipa uwezo wa kumtoa hata mara moja. Siku alipoondoka, alisema kwa sauti ya upole...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  8. Heritage123

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUTUMIA CANVA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI (ONLINE)

    📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA 1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro) Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora. 2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa 👉 Badala...
  9. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KUWA NA PESA PEKE YAKE HAITOSHI KUWA NA NYUMBA NZURI UNAHITAJI PIA WATAALAMU WABOBEVU KAMA SISI CALL US 0624004650

    TUNAHUSIKA NA HUDUMA YA DESIGN NA UJENZI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  10. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na kulala nazo pesa kitandani

    Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu unasemaje ardhi ni mali wakati unafukia pesa huu ni ukichaa

    Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini. Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa. Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Pesa za Mama Samia walizokopeshwa Wasanii, wameolea na kununulia Magari

    Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma "...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
  14. M

    JamiiForums Tanzania Miji na vijiji vinavyokuwa kwa Kasi Tanzania unaweza kimbilia kutafta pesa huko

    Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu ( high populations more opportunities ). Huu Uzi nakutajia miji na...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Pamoja na pesa na umaarufu,sura ya Harmonize imegoma kukaa kisupastaa

    Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao iko bayana Kurwa anangara maana hapigwi jua maisha yake ni full kiyoyozi Doto kapauka Hawafanani...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pesa za moto

    hakuna muda wakupoteza nahitaji pesa zachap chap .yan ndani yamuda mfupi maisha yangu yawe good. Nahitaji wazee wa connection mnishike mkono kijana wenu NOTE; kwenye hili niko serious zaidi ya unavyodhani
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa ni tatizo au changamoto?

    Mara paaaap unaulizwa kitu gani kinachokukwamisha? I know you will stick on the point of financially,so Unazani kwa fikra zako pesa ni tatizo au changamoto kwetu? Tujifunze kiswahili na fikra kidogo
  18. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Selcom Pesa ulikuwa wapi wakati watanzania tunapigika vikali pasi na huruma?

    Ulikuwa wapi? Mbona umechelewa? Ila sio mbaya japokuwa umetukuta na makovu makubwa sana yaliyosababishwa na hawa mabepari kwa kutushushia vitu vizito pasi na huruma Kwa sasa, vijisenti vyangu navieka mahali salama, baada ya wiki navichungulia, navikuta vikiwa vile vile. Wangekuwa hawa mabepari...
Back
Top Bottom