Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:-
Degree 170k *7
Diploma 150k*7
Certificate 100k*7...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
habari
halmashauri
kagera
kujikimu
mkoa
mkoa wa kagera
mpya
muleba
mwezi
ndugu
pamoja
pesapesa za kujikimu
wenzake
wilaya
yangu
Habari wana jf
Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t.
Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza zaidi michakato hiyo kwa sababu nahisi mwanga ila nipo gizani.naweza kupata mtu wa kunishika mkono?
Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa!
Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo.
Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !?
Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
Hello,
Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu.
NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita.
Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana.
Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia...
Asalaam Aleykum
TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi?
Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
1. Mafundi Ujenzi - Saiti mpya dem mpya
2. Mafundi Simu - ni tangu enzi za miaka ya 2000s nawajua vizuri, kwa kuhonga wana b+
3. Wauza mitumba - mabalo ya mitumba yana faida kubwa sana, tatizo kuhonga
4. Boda boda - honga yao ni lift za bure na wanajuaga nani kabanwa na marejesho...
Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka
❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu
❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka
❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
SWALI :
kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ?
Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa .
Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi .
Swali la kwanza ameshinda...
Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa anaefahamu issue kama hii anisaidie mawazoo...
Hello,
Mara nyingi nimesikia stori za watu kuwa kuna pesa za freemason,. Ingawa mimi binafsi naona ni utapeli ulioanzishwa na watu hasa mitandaoni ili kutapeli watu.
Je, ni kweli kuna pesa za freemason?
Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa
-chakula bora,
-maji safi,
-huduma za afya,
-elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k
Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili.
Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.