pesa

  1. Moto wa volcano

    Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  2. Heritage123

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Personal Brand (2025 Guide)

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi — kuji-brand binafsi kunaweza kukuwezesha kuvutia fursa, wateja, na kipato kikubwa. Lakini, jinsi...
  3. W

    Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  4. D

    Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
  5. Kipenzi Changu

    Acha kujidanganya pesa sio kila kitu

    Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote. Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya...
  6. The redemeer

    Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho

    Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho kutokana na talanta ulizopewa,kila mtu akitambua kipawa chake na akakitumia kwa faida ya wengine tatizo la ajira litatoweka, mabadiliko ya maisha yako ni wewe na sio CCM, CHADEMA, serikali, mzazi, connection nk haya ni matarajio na matarajio sio kitu...
  7. FestoKaguo

    Boring businesses zina pesa nyingi sana

    Boring businesses zina pesa nyingi sana. Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi” Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya. 1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa Umeona unavyoiona ya...
  8. Tman900

    Unaweza Ukatoa Pesa Na Usipate

    Hasara au Kupoteza. Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi. Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani. Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa...
  9. matunduizi

    Kwa nini nawaelewa ambao Wanaanza kutafuta Pesa ndio wajenge na SIO kujenga ukiwa na kipato kidogo

    Kwanza kupanga sio jambo la ajabu au aibu. US zaidi ya watu wazima Mil 45 wamepanga. Wengi wanalazimisha kujenga wakiwa hawana kipato cha kueleweka wanaishia kuishi nje ya matarajio yao. Unakuta mtu anafanya kazi kkoo anajenga kisarawe kijijini KWA DC Machachari KWA gharama nafuu. Unakuta...
  10. Mejasoko

    Dunia ya Sasa inabidi kutafuta pesa kuwa ndugu wa ndugu yako🙌

    Mikono mtupu haulambwi na waswahili walishasema, tuzisake tu ili tuwaweke karibu watu vitu.
  11. Scared

    Hivi serikali imewashindwz kabisa Hawa jamaa wa tuma kwenye namba hii

    Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
  12. Now and then

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  13. Fbn

    Pesa ni ukafiri ndani ya dini hizi mnazo

    Leo nimefikiria kwa nini diamond kawa msimamizi wa harusi ya jux. Mi sijawai kuona anayekusimamia harusi hajaoa. Dini hipo kwa maskini tu.
  14. Samia atosha tukutane2030

    Kama unataka pesa hupaswi kutafuta pesa bali unapaswa kutafuta kitu kitakachoongeza thamani yako. Hicho kitu kitaleta pesa mifukoni mwako.

    Mtu anayeamka usiku wa manane kwenda kutafuta pesa atateseka mpaka siku analazwa chini kaburini bila kuzipata hizo pesa na yawezekana akazipata huku akiwa na ugonjwa utakaomlia pesa zake zote huko uzeeni. Hawa unaowaona wanaamka saa tisa alfajiri na kulala saa 6 usiku kutafuta pesa katu...
  15. Fbn

    Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  16. Poor Brain

    Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

    Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho... Hutaki kazi ngumu na kazi huna.... Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki.. Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood.. Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
  17. C

    Mkopo wa piki piki ya hesabu au pesa ya kununulia piki piki

    Nakuja kwenu wafanyabiashara na watu wenye uwezo wa kunisaidia shida yangu ya Mkopo wa kupata PikiPiki kwa ajili ya kufanyia DELIVERY kwenye biashara zangu au Kiasi cha Pesa chenye thamani ya piki piki husika ili niende nunua mwenyewe Piki Piki hiyo MPYA dukani. Piki Piki ninayohitaji ni...
  18. Brain Kingdom

    Mtazamo: Utawala wa Sasa watu wengi hawana amani pesa ipo kwa wachache na mfumuko wa bei uko juu

    Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali. Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
  19. ELI COHEN

    Houthi wana pesa ya kurusha makombora ila hawana ya pesa ya kuponesha vidonda kutokana maasi waliofanya Yemen.

    Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji. Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea nae wakati wa kwako wa kuzaa anaumwa na hajapata pesa ya kutibiwa. AKILI UOZO.
  20. ELI COHEN

    Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
Back
Top Bottom