pesa

  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wale Ma-Tour Guide na Tour Operators: Huu Ndio Uzi wa Kupiga Pesa Kiroho Safi kwa Digital Marketing, Wageni Waje Wenyewe

    familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
  2. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mtu alie arrogant kama demu alielewa pesa za kuhongwa

    Unakuta mtu basi tu ni tako ndio limemuokoa kutoka bunyokwa ndani ndani huko sasa ana enjoy pesa za wanaume, ameshajisahau kabisa, hata akiona mtu anakula mlenda anajisikia kutapika sasa hivi😁 wakti ndio ilikuwaga menu yao Eti demu anamuambia mshikaji mmoja hivi inakuwaje mbwa unampa makombwe...
  4. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Michongo 10 itakayo kuingizia pesa kwenye blockchain & cryptocurrency 2025".

    Leo nataka nizungumzie Namna 10 unazoweza kujihusisha nazo kwenye Blockchain Technology & CRYPTOs na ukapiga pesa. TAHADHARI: Mimi sio mshauri wa mambo yako ya kifedha. Mambo yote niliyoandika hapa ni kwa ajili ya kutoa ufahamu/elimu/uelewa tu. Hakikisha unamtafuta mshauri wako wa masuala ya...
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania Je, nini cha kufanya ukipata pesa kuanzia milion 1?(ninayo sasa)

    Asanteni naomba msaada wa mawazo, kwa sasa nina saloon, lakini pia ni mtumishi wa sekta binafsi nina komputa pia lengo nifanye library, nisaidien mawazo asanteni.
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa ya mkopo unapaswa kuitolea fungu la kumi?

    samahan naomba ufafanuzi hapa asanteni. mods naomba mnirekebishe title iwe kuitolea fungu la kumi au
  7. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za mapenzi yasiyo na pesa vs mapenzi ya pesa

    Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi kabla ya kujenga future yako – then you’re the biggest clown in this fcking game! MAPENZI KICHA...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayefaidika na hizi kesi zetu Yanga huko CAS? Kuna watu wanapiga pesa kupitia huu upuuzi.

  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  10. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Personal Brand (2025 Guide)

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi — kuji-brand binafsi kunaweza kukuwezesha kuvutia fursa, wateja, na kipato kikubwa. Lakini, jinsi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Acha kujidanganya pesa sio kila kitu

    Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote. Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya...
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho

    Pesa ni matokeo ya kufanya kile upendacho kutokana na talanta ulizopewa,kila mtu akitambua kipawa chake na akakitumia kwa faida ya wengine tatizo la ajira litatoweka, mabadiliko ya maisha yako ni wewe na sio CCM, CHADEMA, serikali, mzazi, connection nk haya ni matarajio na matarajio sio kitu...
  15. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Boring businesses zina pesa nyingi sana

    Boring businesses zina pesa nyingi sana. Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi” Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya. 1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa Umeona unavyoiona ya...
  16. Tman900

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza Ukatoa Pesa Na Usipate

    Hasara au Kupoteza. Mapenzi ni Biashara, sasa inatakiwa uwe makini unawekeza wapi. Maana Hawa Ndugu Zetu wapo After money, ukimsemesha tu anataka Pesa, Sasa kwenye hiyo pesa unayotoa kumpa Jua hiyo ni Kamali, unaweza ukaliwa na usione ndani. Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unaliwa...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nawaelewa ambao Wanaanza kutafuta Pesa ndio wajenge na SIO kujenga ukiwa na kipato kidogo

    Kwanza kupanga sio jambo la ajabu au aibu. US zaidi ya watu wazima Mil 45 wamepanga. Wengi wanalazimisha kujenga wakiwa hawana kipato cha kueleweka wanaishia kuishi nje ya matarajio yao. Unakuta mtu anafanya kazi kkoo anajenga kisarawe kijijini KWA DC Machachari KWA gharama nafuu. Unakuta...
  18. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Dunia ya Sasa inabidi kutafuta pesa kuwa ndugu wa ndugu yako🙌

    Mikono mtupu haulambwi na waswahili walishasema, tuzisake tu ili tuwaweke karibu watu vitu.
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imewashindwz kabisa Hawa jamaa wa tuma kwenye namba hii

    Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
  20. Now and then

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
Back
Top Bottom