NSSF acheni ukatili na toeni pesa za watu

NSSF acheni ukatili na toeni pesa za watu

Soul21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
204
Reaction score
336
Serikali lazima ijue raia tunapambana kujikwamua kimaisha na unakuta mtu ameacha kazi taasisi binafsi na anahitaji mslai yake lakini NSSF wanasema mpaka ufikie umri wa kustaafu. Nauliza pesa za wafanyakazi mnapeleka wapi?

Haijalishi mtu amepata kazi Serikalini au lah! Sioni umuhimu wa NSSF kuendelea kushikilia pesa za mtu Kwenye mfumo wao kwani mimi naona ni mkataba umeisha. Na kama. Watanendelea kushikilia basi waongeze riba Kwenye pesa hizo ili muda ukifika ziwe zimeleta faida.

Mwisho, NSSF toeni pesa za watu pale wanapozihitaji acheni ubabaishaji.
 
Aisee me mwenyew mpk nashangaa yan,hv inakuaje pesa ni yangu ila upatikanaji wake Inakuwa Ina maprocess kibao utadhan napewa bure,mbaya zaid unapangiwa jinsi ya kuipata...huu uonevu mkubwa sana yan,mtu anahitaji hela yake kwanin asipewe kwa wakati? Mbona wabunge hawaambiwi wasubiri mpk wastaafu?
 
Hi mifuko ya kijamii tumechoka kutunziwa pesa zetu tunazitaka tukafie mbele sisi ni watu wazima . Kama Kuna mtu ana connection mchongo ukikubali atapata mgao wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom