pesa

  1. Sitaki kuamini

    Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  2. kalisheshe

    Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  3. Kalamu Nzito

    CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  4. Komeo Lachuma

    Huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia Simba na Yanga. Ni ngumu sana labda uwe unapiga pesa

    Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili. Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
  5. ngara23

    CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
  6. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  7. Just Pray

    PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  8. Braza Kede

    Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  9. Palac

    Usimkopeshe pesa mke wa mtu

    Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
  10. youngkato

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  11. Braza Kede

    Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  12. youngkato

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing

    Jinsi Mwanafunzi wa Form Six Anaingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Freelancing Wakati vijana wengi waliomaliza kidato cha sita wakisubiri majibu ya chuo au kutafuta “kazi ya kuajiriwa,” kijana mmoja kutoka Mwanza aliamua kuchukua njia za tofauti. Jina lake ni Festo kijana mnyenyekevu, mpole lakini...
  13. Mwl.RCT

    Mapenzi na Pesa: Utata wa Uaminifu

    Audio: Chanzo:
  14. nipo online

    Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

    1.Sadaka ya fungu la 10 2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane 3.Wazazi au walezi wako 4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada. Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
  15. Mme Mwenza

    Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

    Habari wana jamvi! Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000. Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000. Kwa mwaka faida inabaki 1.8M.. - Nimegundua bado nahitaji...
  16. Heparin

    PreGE2025 Nyomi la CHAUMMA jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa C4C laishtua CCM. Hakika ni chama Mbadala kwa siasa za upinzani

    Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C). CHAUMMA oyeeee!
  17. W

    Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  18. Hance Mtanashati

    Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

    Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi. Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi. Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala. Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi...
  19. Tommy 911

    Njia sahihi ya kutunza pesa

    Habarini wana jf mimi naomb wenye kujua njia ya kutunza pesa ukiachan na bank na mitanndao ya sm .....nnaingiza milioni moja kwa mwezi
  20. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
Back
Top Bottom