Swali langu nimeshindwa kuliframe vizuri. Nilitaka kufahamu hapo zamani tulikuwa na senti zinazunguka kwenye circulation ya pesa huku mitaani, lakini ghafla zilipotea, na sifahamu ni kwanini.
Nchi zingine hata walio tutawala bado wanatumia hizo senti, ukienda Ulaya yote, hata Marekani kuna...