Huyu mtumishi wa Serikali anatoa wapi pesa za kutoa misaada kwa jamii?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.

Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?

Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?

CC: BAK, Mshana jr, Tindo.

kumbe huwa anaisoma jf...thank you jf ujumbe umemfikia mlengwa.

UPDATE:- 18/09/2019 Tarehe hii ya leo nashukuru mtumishi huyu kuja na majibu mepesi kuwa
-ana marafiki wengi wanaomchangia hivyi yeye akiwa amekaa nao hata wanakunywa kahawa huwa anachomekea kuomva misaada, ya kuwasaidia watu wenye shida zao, lkn protocol ya utumishi wa umma inasemaje kuhusu kupokea zawadi kwa mtumishi wa umma?
-mbna hizo zawadi huwa anapewa kimya kimya? ni ngapi anatangaza na kuweka wazi? niishie hapo kwanza.....
 
Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.

Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?

Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?

CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
Huyo ni black Mailer
 
We unauliza swali au jibu? Hazina ya nchi inashikilia na mkulu menyewe ambaye amemuweka mtoto a dada yake kwa hiyo anachota anavyotaka ukizingatia bunge letu haliulizi maswali limeshafungwa gavana. Kama ulivyosikia matibabu ya Ndugai yamegharimu bilioni 27!!! huu ni wizi. Makonda kuwa na pesa sana sishangai, na siyo huyo tu Tulia atkson pesa anapata wapi za kugawa kama njugu? jibu wanachota hazina maana mambo ya check and balance yamefungiwa kabatini sasa hivi tunaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku watu akipiga kama haana akili nzuri.
 
hapo umenena mkuu
 
Unamshangaa huyo, RC Manyara anamiliki timu ya daraja la Kwanza na kajenga uwanja wa bilioni 2 Gwambina.
RC Manyara ndiye yule ambaye mbunge wa Simanjiro alimshutumu kuwa anapewa rushwa na wafanyabiashara wa Tanzanite.
Huyu ndiye aliyeshtumiwa na Nasari kuwa kahonga madiwani wahame Chadema Arumeru , Nasari akapeleka ushahidi Takukuru Pombe akamteua kuwa RC, Takukuru wakafuta kesi.
Wanasiasa wa awamu ya tano wanakula Sana rushwa ila wajanja Sana wanajua Kula na kipofu, wanakula rushwa halafu wanamsifia Pombe.
 
Yeye ni mkuu wa mkoa huo. Hivyo anaweza kushawishi wafanyabiashara na wadau wengine wa maendeleo ya jamii kuchangia. Kwa vile yeye ni boss basi hutoa kwa niaba. Rejea maelezo yake siku ya simba day.
mmhhh mkuu, mbona wa mikoa mingine hawana hiyo bahati kwa wafanya biashara wa mikoa yao?
 
We unauliza swali au jibu? Hazina ya nchi inashikilia na mkulu menyewe ambaye amemuweka mtoto a dada yake kwa hiyo anachota anavyotaka ukizingatia bunge letu haliulizi maswali limeshafungwa gavana. Kama ulivyosikia matibabu ya Ndugai yamegharimu bilioni 27!!! huu ni wizi. Makonda kuwa na pesa sana sishangai, na siyo huyo tu Tulia atkson pesa anapata wapi za kugawa kama njugu? jibu wanachota hazina maana mambo ya check and balance yamefungiwa kabatini sasa hivi tunaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku watu akipiga kama haana akili nzuri.
Tulia a.k.a Nyanya Rukia a.k.a Bettina anagawa pesa kama pedeshee kule Mbeya
 
mmhhh mkuu, mbona wa mikoa mingine hawana hiyo bahati kwa wafanya biashara wa mikoa yao?
Huenda hawana ushawishi, ubunifu na hawachangamkii fursa. ma DC na RC wengi wana maafisa habari lakini taarifa za kazi zao ni nadra sana kuwekwa public. hii inaonesha wao si ombaomba na hawati sana umaarufu kwa migongo ya wengine.
 
Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.

Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?

Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?

CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
Ndugu yangu umesahau, anazowapoka wakina MO, GSM, MANJI, na wote anaowasingizia kuhusu madawa ya kulevya. Pili usisahau dili zote za uhujumu uchumi na kuteka watu anaratibu yeye, kwahiyo mzigo wote anapokea yeye. Tatu hata la ununuaji wa wapinzani analatibu yeye, kumbuka na ile T 2.4 wanazo yeye na baba yake.
 
Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.
Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?
Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?
CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
Kwao wanafuga ng'ombe wengi tu kama walivyo wasukuma wote. Kama wanaweza kuoa kwa mahali ya ng'ombe sitini (60) mwanamke mweupe milioni kumi si kitu kwake.
 
Back
Top Bottom