The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Gharama ya kutoa pesa na kutuma pesa kwenye mitandao iko juu sana. Hii mitandao ndio inatumiwa sana na sisi wanyonge kwenye kutoa na kupokea pesa ila sasa haiko kwenye kutusaidia bali kutukomoa. Je serikali yetu ya wanyonge hailioni hili?
Kutoa pesa kwenye ATM mashine ni TZS 1,000 ila kutoa Mpesa ni TZS 7,000. Atm unatoa milioni unachajiwa elfu 3, mpesa ni karibu 15k, huu ni unyonyaji na sio huduma.
Kutoa pesa kwenye ATM mashine ni TZS 1,000 ila kutoa Mpesa ni TZS 7,000. Atm unatoa milioni unachajiwa elfu 3, mpesa ni karibu 15k, huu ni unyonyaji na sio huduma.