penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

    Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi. Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume. Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
  2. JamiiForums Tanzania Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

    Mzee Ngowi na Bi Sikitu ni wapenzi walio pendana toka shuleni wakiwa watoto, mpaka wakaoana. Baada ya kustaafu waliamua kurudi kuishi eneo waliloushi zamani walipokuwa wadogo, na kusoma. Siku moja walikuwa wanasherehekea miaka 40 ya ndoa yao. Hivyo waliamua kutembelea shule yao waliposomea...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  4. JamiiForums Tanzania Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii. Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen. Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi. ✍️ Mjanja M1
  5. JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka penzi lako la mbali liliishia wapi?

    Habarini Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona lakini ukawa na upendo naye sawa na unaishia naye jirani. Nakumbuka wakat fb,bbm,na Whatsapp...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

    Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa. Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi...
  7. JamiiForums Tanzania Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

    Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza" Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole. Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  9. JamiiForums Tanzania Anataka penzi la kisela

    Ebana wandugu, Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo. Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi. We ungefanyaje mdau.
  10. JamiiForums Tanzania Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki? Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu. Lulu alienda kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Je Denzel ndiye chanzo cha penzi la Harmonize na Kajala kuvunjika

    Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu . Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
  14. JamiiForums Tanzania ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

    Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikuwa Dar es Salaam. Huyu binti kwanza alikuwa ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikuwa anataka kugundua nini. Ingawa nilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

    Naulizwa Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi? Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje? Haya mje mumsaidie mwenzenu.
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  18. JamiiForums Tanzania Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , hiyo ilikuwa January. Baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha daraja la kwanza yaani cals and texts kila siku ebana nikapanga tukaonane face to face ....basi...
  19. JamiiForums Tanzania Siri 5 ambazo mke hafai kumwambia mume wake licha ya utamu wa penzi lao

    Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu kaumbwa ili kugombea penzi (utulivu siyo asili yetu)

    Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo! wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema "Like charges repell and unlike charges attract" binadam kaumbwa kugombea penzi kama ifuatavyo! mfano! Mwanamke mtilivu ikitokea kaombwa kuolewa na mtulivu mwenzake huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…