penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji. Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
  2. Meshacky Allyson

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

    Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi...
  3. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

    Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi. Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania UTAFITI WANGU: Utakachomsimulia mpenzi wako mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya ndio maneno atakayokurushia siku mtakapokwaruzana

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba; Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana...
  5. Job seeker 2

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu, nini hupelekea mwanamke kutoa penzi kwa rafiki mpya

    Wadau wa mahusiano...mimi nilikutana na rafiki wa kike huko field sikuwa namfahamu japokuwa nimesoma chuo anachosoma ...nilikuwa mwaka wa pili 2017 yeye akiwa mwaka wa 1! Tulikaa nyumba ya kupanga yenye get moja tofauti chumba. Tulianza mazoea hapo siku ya kwanza nilimuona binti mstarabu sana...
Back
Top Bottom