penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. Maleven

    Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

    Huku ndoani ni vurugu mechi, wakati anapika nikamgusa, nikaambiwa " ushaanza mambo yako, subiri nipike kwanza" Nikawa mpole, sasa tumemaliza kula, nikaambiwa aongee na mama ake alimpigia af ndo tulale, nikawa mpole. Kamaliza kuongea anasema nimuache kidogo apunzike. Nikamuuliza hii ndo mpka...
  2. Mhaya

    Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  3. Candela

    Anataka penzi la kisela

    Ebana wandugu, Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo. Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi. We ungefanyaje mdau.
  4. Nifah

    Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki? Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu. Lulu alienda kwa...
  5. Travis Kitengo

    Mwalimu wa shule moja ya sekondari Wilayani Bunda aliyeundiwa zengwe kisa kugombea penzi na mmoja wa maboss wake kikazi shule aliyohama

    Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu. Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
  6. Nyafwili

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  7. Hance Mtanashati

    Je Denzel ndiye chanzo cha penzi la Harmonize na Kajala kuvunjika

    Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu . Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
  8. Hance Mtanashati

    ZaiyLissa anaweweseka na penzi la Mingoclassic mwaka huu kitawaka moto kati yake na Luludiva

    Aliyewahi kuwa mpenzi wa dulla makabila ,ZaiyLissa bado anaweweseka na penzi la aliyewahi kuwa mpenzi anayekulikana kama Mingoclassic. Tangu awali wengi tulishajua Zai na Dulla hawatadumu yani ilikuwa suala la muda tu ndio maana hata ndoa yao kuvunjika ndani ya siku 45 tu haikutushtua sana na...
  9. Daydream

    Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

    Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikuwa Dar es Salaam. Huyu binti kwanza alikuwa ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikuwa anataka kugundua nini. Ingawa nilikuwa...
  10. Money Penny

    Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

    Naulizwa Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi? Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje? Haya mje mumsaidie mwenzenu.
  11. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  12. luangalila

    Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

    Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , hiyo ilikuwa January. Baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha daraja la kwanza yaani cals and texts kila siku ebana nikapanga tukaonane face to face ....basi...
  13. jastertz

    Siri 5 ambazo mke hafai kumwambia mume wake licha ya utamu wa penzi lao

    Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa nyingi huishia kuvunjika kutokana na sababu moja au nyingine, hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya...
  14. D

    Utafiti: Binadamu kaumbwa ili kugombea penzi (utulivu siyo asili yetu)

    Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo! wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema "Like charges repell and unlike charges attract" binadam kaumbwa kugombea penzi kama ifuatavyo! mfano! Mwanamke mtilivu ikitokea kaombwa kuolewa na mtulivu mwenzake huwa...
  15. Hance Mtanashati

    Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

    Jamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi. Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake . Halafu za chini chini inasemekana Wema anatoa pakubwa sana kuliko Whozu . Wema siku zote...
  16. Prince kelly

    Nilivyojikuta kwenye penzi la mwanamke mwenye mshikaji wake bila kujua

    Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana. Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia...
  17. MFALME WETU

    Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

    WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
  18. sky soldier

    Furaha ya mama ni mtoto kufurahi, ikitokea wazazi wameachana, mtoto analilia kumuona baba lakini baba anaomba penzi ili afanye hivyo, mama atakataa ?

    Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili kufanya hivyo inabidi awe anapewa penzi walau kwa lisaa, Mwanamke anaweza kuchomoa hapa ? Na hapo...
  19. Boss la DP World

    Unataka Kupewa Penzi Tamu na Totoz? Tumia Password hii Utanishukuru

    Kwanza nianza kwa kuwalaumu waliogundua mapema hii siri kwa kukaa na hii (nywila) password kwa muda mrefu. Iko hivi wewe mwanaume ukitaka kupendwa na watoto wazuri, wasafi wenye shape zao, watoto wa kishua fanya hivi. 1. Tenga bajeti ya kutosha kwaajili ya kununua furaha, we mtoto wa kiume...
  20. Brain Kingdom

    Kumbukumbu yenye machozi ya raha: Mara yangu ya kwanza kupata penzi la mwanamke wa Kiyao toka Tunduru

    Hakika duniani kuna mambo matamu yenye, raha na ladha, ilikuwa mwaka 2008 pisi moja Kali sana akiuza duka la nduguye baada ya kupita geti kuu la shule ya msingi tandika ukitokea stendi. Hii pisi ilikuwa kali sana yenye macho matamu yenye asili ya aibu. Enzi hizo napiga kazi za ajira salalary...
Back
Top Bottom