Anataka penzi la kisela

Ebana wandugu,

Kuna dada nimemtongoza akaniambia ni sawa amekubali lakini hataki mapenzi shatashata. Anasema kila mtu na mambo yake tuwepo kama hatupo.

Yaani kwa kifupi anasema hataki kupendwa nile mzigo tu basi.

We ungefanyaje mdau.
Yaani huyo ndio anaenifaa mimi maana huko kupenda nishasahau zamani sana sijui mapenzi ni kitu gani nakaribia kufanana na MB DOG hahahaaa
 
Back
Top Bottom