Video: Penzi la Kitanga lamnenepesha Haji Manara

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.

Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪

Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"

ANGALIA VIDEO HAPA

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Dulla Makabila huko aliko..

giphy.gif
 
Zamani ndoa ilikuwa ni kitu ambacho watu hukipa attention sana kutokana na heshima ambayo kizazi cha miaka hiyo ilikuwa inaipa.

Tangu utandawazi na mambo ya flexing kuingia ni kama reputation ya ndoa imekuwa ruined.

Watu wameifanya ndoa kama sehemu ya trend, watu wameifanya ndoa kama sehemu ya ku flex kwa ku fake life style yao, wengine wameifanya kama sehemu ya visasi kuwakomoa wenzi wao wa zamani (ma ex) kwa kuonesha ni kiasi gani wana enjoy mahusiano yao mapya ili tu kuwaumiza wengine.

Lakini hizo stunt hazijawahi kuwa everlasting, kuna muda utafika mtazoeana na ndio huo wakati wa kila mtu kuanza kuonesha tabia yake ya asili.

Utapofika huo wakati ndio utagundua ndoa ni zaidi ya kukandana miguu na kupostiana mitandaoni
 
Mam
Haji Manara aendelea kuneemeka na penzi la Mke wake Zailyssa, kupitia ukurasa wake wa Insta Haji Manara ame-share video inayomuonyesha akifanyiwa usafi wa miguu na Mke wake Zailyssa.

Ameandika Manara, "Kupendwa Raha nyie, Siku mbili tu nimeongezeka kilo kumi dadadeki, Sijui nilichelewa wapi kumjua huyu Zai!! Imagine leo nimekandwa hadi na hiliki ndani ya Maji 🤪🤪

Zailyssa ❤️ Watu wa Tanga mna sifa sana nyie"

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2884391

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Naamini hiii ID ni Manara Mwenyewe maaana kutwa kucha ni kujiposti inshu zake za Kimsukure tu, tangu ifunguliwe hapa JF kutwa kucha ni Manarwaa manarwaaa. Mwanaume kamili hawez penda attention kiasi kuna walakini huyu mwamba atakuwa anafumuliwa linda kama nyepesi nyepesi zinavyodai
 
Back
Top Bottom