penzi

Sumu la Penzi is a Kenyan Swahili, melodrama that premiered in 2013 in Africa Magic Swahili. It has Serah Ndanu, Joyce Maina, Naomi Ng'ang'a and Judith Nyambura as the female leads.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Labda muda mwingine ni sisi ndio tunadata na urembo wao kupelekea kuanza kuwatuza isivyo kawaida thus wao kuanza kuamini kumbe penzi lao ni la mauzo

    Je ni sisi wenyewe wanaume ndio tuliotengeneza aina ya mwanamke mpenda na mtanguliza pesa katika mapenzi? Au ni wadada wenyewe ndio wame-evolve kuwa money mongers katika mapenzi?
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Twende logically, kwanini uhudumie demu ulie nae kihuni for the sake ya kupata penzi lake ambalo hilo hilo kuna mwana veta analipata bila ya kujipinda

    Acha mihemuko ya kuniambia "tafuta hela wewe" Acha mihemuko ya kuniambia "sasa unataka uhongwe wewe? Simaanishi kui-normalize hii ila more and more nazidi kuheshimu wale wana wanaotoa escorts mitandaoni na kwenda physically pale riverside, wanapigana nao mieleka baada ya hapo shughuli na yeye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

    Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks. Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
  4. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kumuua mpenzi wake kisa kunyimwa Penzi

    Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia. Katika kesi hiyo ya jinai ya mwaka 2023, hukumu yake imetolewa jana Machi 25, 2025 na Jaji Mussa Pomo na...
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

    Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.
  7. Maleven

    JamiiForums Tanzania Huku kwenye ndoa wake zetu wanatuuzia penzi

    Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela. Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
  8. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

    Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000? Economic value ya kitu...
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Unaua msichana kisa umenyimwa penzi, daah upwiru ni hatari sana!

    Nimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha. Eti wanajamvi, hii tamaa ya mbususu inaweza kukufikisha kwenye hatua hii?
  10. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kama Wake zetu wangejua wanapotunyima penzi tunakua na hasira kiasi gani, wasingejaribu hata kidogo

    Inatia hasira sana unaponyimwa haki na mke wako wa ndoa, wao hawajui tu ni kiasi gani tunakua na hasira. Halafu mtu amelunyima anakuuliza, "umekasirika" Sasa unajiuliza hivi huyu anaakili kweli? Au huwa wanaona hilo ni jambo dogo? Kama unaamua kumnyima mtu unamnyima ila usianze kuongea...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

    Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki Aka mzungu WA NNE Usiforcee...
  13. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa?

    eti wakuu? Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa? Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
  14. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

    Wakuu salama salama.. Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati. Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto. Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea...
  15. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Penzi Kitunguu

    SEHEMU YA 1 Danieli aliingia bila hodi,nyumbani kwa mpenzi wake alichokiona mbele ya macho yake aliamua kuyafumba, huku mwanaume aliyembele yake akiokota nguo zake kwa haraka zilizotapakaa sakafuni ili kujifunika. Kabla hajafumbua macho,alisikia sauti ya mwanaume huyo aliyeonekana kumfahamu...
  16. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Penzi la mwana wa boss

    1. Nipomaliza la saba, litorokea mjini, Mguuni nina raba, na kibegi mgongoni, Nauli ninayo haba, nimeweka mfukoni, Penzi la mwana wa bosi, menitia matatani. 2. Gari zuri tukapanda, kuelekea mjini, Shauku ilinipanda, kuondoka kijijini, Nauli nikailinda, nisiibiwe mjini, Penzi la mwana wa bosi...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Penzi kitovu cha Uzembe , poleni wanayanga

    Penzi limeshusha kiwango cha Azizi ki Penzi limemuondosha Gamondi Penzi kitovu cha uzembe
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

    Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua 1.kuimarisha upendo baina ya wenza 2.kuondoa stress za Kazi na biashara 3.njia ya kutatua Ugomvi 4.inachochea...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivo mpenzi/mke wako huombwa penzi ukiwa mbali nae

    Competition ni kubwa sana mda mwingine ni kujifanya huyaoni msikague sana simu mtakufa na presha na misongo ya mawazo
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ngoswe: Penzi kitovu cha uzembe..

    Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia? Je inaweza kuwa vyote vitatu? Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi ya watu maarufu kama sensa, miaka hiyo ya sabini na ushee... Ngoswe akazama penzini na mmojawapo wa...
Back
Top Bottom