Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080

Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi

Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa

Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
 
Du! Mimi nilizani hio video ulio weka inahusiana na mada kumbe ni mashudu matupu mbaka mb zangu zimeisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom