Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 757
- 2,141
Ina vitamthilia vya ajabu ajabu, unakuta mara simba mweupe anapaa angani hukuu amseshikilia mkuki na miguu yake,
kama sio utakuta zile za kihindi jamaa wanangaaliana kwa ukali karibia nusu saa , basi wadada unakuta wanafurahi sana.