pendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama changu pendwa CCM ni kweli mnataka mdahalo na CHADEMA?

    Kiongozi wa mwisho aliyefanya mdahalo kwa kujiamini bila woga alikuwa ni hayati Benjamini Mkapa baada ya hapo waliofuatia wote waliingia mitini na sababu mbali mbali. Imenikumbusha aibu ya mdahalo wa mchakato majimboni mpaka kupelekea mkurugenzi wa TBC komredi Tido kuvurumishwa na kupewa kesi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania 4U (siyo 4R) za Rais Samia zitaliangamiza lile kundi la CCM toka kanda pendwa

    Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu. Mfano wa kwanza Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali: Madalali wote Dar es Salaam watambuliwe na wasajiliwe

    Kutokana na tatizo la ajira kuwa kubwa tunashuhudia vijana wengi kujiingiza katika shughuli mbalimbali wengi wapo kwenye bodaboda na kundi kubwa pia limejiingiza kwenye udalali wa aina mbalimbali. Kwa jinsi bodaboda wanavyotambuliwa kwa vyombo vyao tunaiomba serekali yetu iwatambue madalali...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndiyo Timu zangu pendwa ambazo GENTAMYCINE nitazishangilia mno katika AFCON ya 2024 Ivory Coast

    1. Morocco 2. DR Congo 3. Zambia Kwanini? Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi. Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau. Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
Back
Top Bottom