pasaka

Pasaka Cinema (Lithuanian: Pasakos kino teatras) is a former Art Deco style movie theater in Kaunas, Lithuania. At that time of the opening, the cinema was amongst the most modern in Kaunas.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Pasaka maana yake ni 'passover'

    Passover maanake kuvuka hatua. Kuanzia na kusulubiwa kwa Yesu mpaka kufufuka. Hakika IMEKWISHA PALE MSALABANI.
  2. marehem x

    JamiiForums Tanzania Pasaka itakuwa tarehe ngapi

    Wakuu nipo gizani. Pasaka ni siku gani na tarehe ngapi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ungependa Zuhura Yunus atoke na mkeka kipindi cha Pasaka au baada Eid?

    Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba...
  4. fundi radio

    JamiiForums Tanzania Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres

    Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres Reem Abaza wa UN News akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuhusu ziara zake za kila mwaka za mshikamano wa Ramadhan. 6 Aprili 2023Amani na Usalama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kheri ya sikukuu ya pasaka in advance

    Jf member wote nawatakia kheri ya sikukuuu ya pasaka karibu nyumbani ila ukija uje na nauli yako na hela ya soda Nawatakia watu wangu wa nguvu kheri na furaha tele Punguani Gily mrembo Lenie mchumba wangu dunia yangu Dahan shemeji yangu Analyse mzee wa ofa Mzee wa kupambani mwizi mzoefu alie...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni Petro wa Pasaka hii kwa kumsingizia mama kuidhinisha malipo ya ovyo serikalini. Zawadi ya Pasaka kwa watanzania ni mama kumtumbua leo hii.

    Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  8. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tumpongeze Yuda, bila yeye Yesu asingekwenda mbinguni Wala tusingefahamu pasaka

    Shukrani za dhati kwa Mwenyekiti cha wasiliti bwana Yuda kutuletea pasaka. Na kuanzisha mtindo wa usaliti.leo tuna mayuda wengi duniani kila Kona. Tumebakisha siku chache tumkumbuke Yuda maana tumemsahau
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
  10. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

    .
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  12. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya pasaka ya Agano la kale, pasaka aliyoiacha Yesu na pasaka ya sasa (easter)

    Jibu la Biblia Pasaka ni sherehe ya Kiyahudi iliyowakumbusha jinsi Mungu alivyowakomboa Waisraeli kutoka katika utumwa wa Misri mwaka wa 1513 K.W.K. Mungu aliwaagiza Waisraeli wakumbuke tukio hilo muhimu kila mwaka katika siku ya 14 ya mwezi wa Kiyahudi, Abibu, ambao baadaye uliitwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Ajali Zimbabwe: Takriban watu 35 wafariki wakielekea kwenye mkutano wa Pasaka

    Takriban watu 35 wamefariki dunia na wengine 71 kujeruhiwa baada ya Basi lililokuwa limewababa kuelekea kwenye mkusanyiko wa Pasaka kutoka nje ya barabara na kutumbukia kwenye korongo Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, kuna viashiria kuwa basi hilo lilijaa kupita kiasi. Kwa kawaida, Mabasi Nchini...
  15. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi CAF Klabu Bingwa Afrika zichezwe siku ya Pasaka?

    Yaan siku ambayo Wakristo wanaadhimisha mateso, kufa na kufufuka kwa Mwokozi wa ulimwengu Yesu Kristo, wenywe wameamuru zichzwe mechi kati ya tareh 15 - 17 mwezi huu. Hii ni dharau ya waziwazi kwa Wakristo. Simba isipofuzu Kateni rufaa.
  16. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Pasaka: Tunaonyeshwa kuwa Magufuli hakuyaishi maono yake na kama aliyaishi hayakuwa maono sahihi?

    Wanajamvi: Kwa wale Wakristu, wanafahamu matukio muhimu yaliyojiri baada ya Yesu Kristu Kufa Msalabani. Kwanza, Dunia ilitetemeka kuonyesha kuwa yule aliyekuwa msalabani ni Mungu anayetawala maumbile. Pili, Pazia la Hekalu la wayahudi kupasuka vipande Viwili kutoka juu mpaka chini. Wafu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: 177 wakamatwa kwa kukiuka hatua za kujikinga na Covid-19 siku ya Pasaka

    Watu 177 ndani ya jiji la Nairobi wamekamatwa kwa kukiuka hatua za afya za kujikinga dhidi ya #COVID19 siku ya sikukuu ya Pasaka. Polisi wamesema wengi wao walikuwa katika maeneo ya kunywa pombe ‘Pubs’ wakiwa wamerundikana na hawana barakoa. Wote waliokamatwa wameachiwa kwa dhamana na...
  18. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Tulio wapweke Pasaka hii tujuane

    Kwa yeyote ambaye yupo mpweke geto tuu hamna cha manz wala nini tuambiane. Mimi ndio wakwanza hapa nahesabu nyuzi jf maan sina cha kunfariji
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Natuma salamu za Pasaka kwa Viongozi na wafuasi wa Chadema popote walipo duniani

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu ! Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa...
  20. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Kutoka CCM, heri ya sikukuu ya Pasaka

    Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
Back
Top Bottom