Ajali Zimbabwe: Takriban watu 35 wafariki wakielekea kwenye mkutano wa Pasaka

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Takriban watu 35 wamefariki dunia na wengine 71 kujeruhiwa baada ya Basi lililokuwa limewababa kuelekea kwenye mkusanyiko wa Pasaka kutoka nje ya barabara na kutumbukia kwenye korongo

Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, kuna viashiria kuwa basi hilo lilijaa kupita kiasi. Kwa kawaida, Mabasi Nchini Zimbabwe huwa na wastani wa abiria 60 hadi 75

Matukio ya Ajali za barabarani Nchini humo yamekuwa kawaida wakati wa sikukuu. Inaelezwa, Barabara nyingi zimejaa mashimo ambayo pia huchangia ajali

========

At least 35 people died and 71 were injured in Zimbabwe when a bus carrying churchgoers to an Easter gathering veered off the road and landed in a gorge, the police have said.

The bus was carrying members of a local Zion Christian Church who were travelling to an Easter meeting in the southeastern town of Chipinge.

“I can confirm an accident which occurred last night. So far, the death toll is 35 and the number of injured is 71,” police spokesman Assistant Commissioner Paul Nyathi told AFP on Friday.

“Indications suggest that the bus was overloaded,” he said. Buses in Zimbabwe typically have an average capacity of 60 to 75 passengers.

Road accidents are common in Zimbabwe during public holidays, when the roads are often busier. Many roads are pockmarked with crater-like potholes, which also contributes to accidents.

Source: Al Jazeera
 
Na pasaka yenyewe ya kuletewa, na mzungu sio kwamba walikua wanaenda kuwaona mababu zao hapana
 
Pole yao majirani na wafiwa Mungy awatie nguvu,na majeruhi wapone haraka
 
Back
Top Bottom