pasaka

Pasaka Cinema (Lithuanian: Pasakos kino teatras) is a former Art Deco style movie theater in Kaunas, Lithuania. At that time of the opening, the cinema was amongst the most modern in Kaunas.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama huna pesa ya kula Pasaka, fanya mambo haya

    Katika maisha kuna nyakati za kushiba na nyakati za kuona njaa. Kwa sababu hiyo inawezekana Pasaka ya mwaka huu imekukuta huna pesa ya kutosha lakini bado unatamani kuisherehekea kwa furaha. Kama ni hivyo, usivunjike moyo. Nakupa ushauri muhimu utakaokufanya ujisikie furaha: 1. Tayarisha...
  2. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Sikukuu za Pasaka na mafundisho kuhusu kuishi kwa dhamira na kuchagua kwa Hekima.

    Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu............... Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
  3. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Pasaka 2025 na magari ya kukodi

    🌸 Pasaka hii safiri kwa mtindo! Magari bora, bei nafuu, madereva wa kuaminika — yote yapo Rhond's Company Limited 🚗✨ 📞 WhatsApp/Piga: +255 655 633 302 🌸 Easter rides made easy! Cruise this holiday with comfort & style — book your ride today with Rhond's Company Limited 🚗✨ 📞 +255...
  4. Setfree

    JamiiForums Tanzania Pasaka ni sikukuu kubwa kuliko Krismasi - Ikulu ya Marekani yaandaa sherehe nzito!

    Wiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu. Bila Pasaka, hakuna Ukristo. Ndiyo sababu Wakristo huiona Pasaka kuwa ni siku...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi hiki cha Pasaka jamaa mmoja ameenda na kondoo Hekaluni huko Israel

    Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu. Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia na serikali yake watakula za uso waraka wa pasaka. Kumkamata Lisu Samia kafanya kosa la kiufundi

    Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake. Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atoa salamu za Pasaka kwa wananchi wa Israel

    "Katika usiku wa seder, tunakusanyika na wapendwa wetu kusimulia safari kutoka utumwa hadi uhuru. “Lakini mwaka huu, familia nyingi zitaona viti vitupu—wale mateka wetu bado wanashikiliwa na Hamas, mashujaa wetu walioaga dunia, na waliojeruhiwa ambao wanapigania kufufuka. “Imbeni na kusaidiana...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

    Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki. Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kwaresma na Pasaka Special Thread

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Tumsifu YESU KRISTO. AMINA Tumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kila jambo hasa kwa kumtuma mwanae aje atukomboe . AMINA PASAKA ni nini pasaka ni kuteseka/mateso/ kifo/kufa/na kufufuka kwa YESU KRISTO PASAKA ilianzia misiri lakini badae wana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  11. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Christmas iwe 25 December?

    Wakuu, Bikra Mariam alipata mimba mwezi June Kwa uwezo wa roho mtakatifu. Sasa iweje Pasaka iwe 25 December? Means alizaliwa December au alizaliwa njiti.. Mbona kama hesabu haipo sawa. Soma Luka 1:26-35
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kocha wa Simba Fadlu Davids hana maisha marefu ndani ya klabu, atafukuzwa ghafla kabla ya Pasaka

    Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni. Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimeona tofauti ya Pasaka na Eid. Nilikuwa nafanya utafiti

    Pasaka zote mbili hazikujaza watoto mtaani. Nlijaribu kupitia beaches kadhaa Kigamboni na Mbezi hadi Kunduchi. Watoto wengi walikuwa na wazazi wao na walikuwa wanachungwa sana. Hawapati sana nafasi ya kujiachia. Wapo. Chini ya uangalizi. Hii si nzuri sana mnawafanya watoto wanakuwa wapole sana...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Pasaka kutoka kwa mamlaka

    Watu wengi hawafahamu kwamba "Bila Ofisi ya Papa Francisco, makanisa yangekuwa mengi mno duniani yenye mafundisho potofu kwasababu kungekuwa hakuna kanisa Katoliki ambalo ni moja, Takatifu, Katoliki na la mitume; ulimwenguni kote. Hebu fikiria kama kungekuwa hakuna kanisa Katoliki Tanzania...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Waziri Stergomena Tax ashiriki Ibada ya Pasaka Kigango cha Shishani Wilayani Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Machi 31, 2024 ameungana pamoja na Waumini wa Dini ya Kikristu katika ibada ya kusherekea Sikukuu ya Pasaka katika Kigango cha Shishani, kilichopo Parokia ya Mtakatifu Kizito Kabila, Magu, chini ya Jimbo Kuu la Mwanza...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

    Jumapili saanane usiku na jumatatu ya Pasaka haikuwa njema. Umeme ulikatika karibia nchi nzima. Chanzo cha tatizo kilikuwa kujizima mitambo huko Kidatu Tumeelezwa na TANESCO kuwa , kujizima huko kunatokana na maji "kuzidi" na mitambo kujizima. Maelezo hayo kimsingi hayana maana kabisa...
  17. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko aagiza watumishi wa TANESCO waliokuwa likizo ya pasaka warudi haraka

  18. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Kama uliwahi kujiuliza unavyoweza kuitambua tarehe ya Pasaka basi makala hii ni nafasi kwako kujua tarehe hiyo unavyoweza kuijua bila hata kuhitaji kusoma kalenda Utafiti wa tarehe ya Pasaka umechukua nafasi kubwa katika historia ya Kalenda ya Mwaka tunayoitumia. Hivyo kuifafanua tarehe...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Biden kapitisha Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, Trump amlaani na kumtaka awaombe msamaha wakristo.

    Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia, Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo...
Back
Top Bottom