Pasaka Cinema (Lithuanian: Pasakos kino teatras) is a former Art Deco style movie theater in Kaunas, Lithuania. At that time of the opening, the cinema was amongst the most modern in Kaunas.
Friends and our Enemies,
Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini.
Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi
Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..?
"....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli...?" Askofu...
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.
Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
Hello
Kesho nafikiri tupike pamoja JF hapa hatua kwa hatu ratiba yetu itakuwa hivi
Morng
Saa moja na nusu tutaanda chai ambapo kutakuwa na bagia za dengu na maziwa
Mahitaji ya bagia
1) unga wa dengu
2) chapa maandazi / barking powder
3) dania
4) karoti
5) chumvi
Baada ya hapo mchana tutaanda...
Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni.
Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi.
Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea
Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru.
Tundu Lisu...
Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine.
Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
feki
gen z
jitafakari
kizazi cha miaka ya 90
kukua
kukwama
mtume petro
nafsi
pasakapasaka 2025
tafakari ya pasaka
ufufuo na maisha
umri
utu
utu uzima
waislamu
wakristo
yesu kristo
Kesho NI siku ya Kula vitu vizuri na kushushia mvinyo
Mimi Kesho nakula Ugali mlaini,majani ya kunde na hiyo kitu hapo chini 👇
JE WEWE KESHO UNATARAJIA KULA CHAKULA GANI???
Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! 🐣🙏
Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina.
Katika siku hiyo ya Pasaka...
1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover)
Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa
Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.