Pasaka Cinema (Lithuanian: Pasakos kino teatras) is a former Art Deco style movie theater in Kaunas, Lithuania. At that time of the opening, the cinema was amongst the most modern in Kaunas.
BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga wilayani Karagwe kushiriki Misa Takatifu ya Pasaka, leo tarehe 31 Machi 2024.
Misa hiyo Takatifu...
Asalaam,
Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu.
Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako.
Karibuni.
Wanabodi
Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani.
Vichakani, kula kwa machale uwe...
kama kuna events yoyote imekua organized kwa siku ya kesho kile kidogo nilicho jaliwa nataka kusherekea na wahitaji, kindly may i be recommended with any orphanage center, or any events zinazohusisha wahitaji kindly pm me ill much appreciate it. location Dar es Salaam.
Thanks in advance
Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo.
Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna wakristo wengi ambao wanajiandaa kusherekea Sikukuu hiyo. Je, Katazo la kula adharani linawahusu...
Naona mambo sasa yamekaa sawa.
Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa.
Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko.
Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa.
Inamaana Wameshakubali...
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
Nakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana...
Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli
Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni
Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
Kikristo ni kwamba tunapaswa kutendeana kwa upendo na ukarimu kama Kristo alivyotutendea. Kama Wakristo, tunapaswa kufuata mfano wa Kristo ambaye alijitoa kwa ajili ya wengine na kuwa mfano wa upendo, huruma, na unyenyekevu.
Kadhalika, tunapaswa kuelewa kuwa kila mmoja wetu ana wajibu wa...
Watu hawana raha kabisa. Maana hata maharage tu yamefikia elfu tatu na ushehe.
Watu wana maisha magumu na wanajiona kama wakimbizi hapa nchini kwao.
Hii salamu haisaidii
Kwanza niwatakie heri ya Pasaka kwa Wakristo wote duniani kote.
Naomba niwaambie kitu katika siku hii ya leo muhimu duniani katika maisha yetu.
Tunapoisherehekea Pasaka, tunasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo.
Tunaambiwa kwamba bila ya Bwana Yesu kufufuka basi Ukristo usingekuwepo...
Ndio, nazungumzia lile Jambo,
Limekuwa agenda kuu Misa ya Pasaka..
Wazazi wapaswa kuwajibika kulea maadili ya watoto wao.
Hili jambo wengi tunalivamia lakini ukwel ni kwamba kwa Tanzania mkakati ulianza zamani sana..
Angalia hapa..
1. Kabla ya mwaka 2005 kulikuwa na fursa Sawa kwa wote...
PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema.
Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema.
Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.