ovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Simba imekuwa timu ya Ovyo ovyo, kocha wa ovyo, hadi washabiki na uongozi wa ovyo ovyo. Hatujui kabisa

    Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu. Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi. Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

    1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki. 2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama ilivyokua kwa siri kwa Shangazi wa mke wangu (Oktoba 2023) au nikaushe tu? maana mashallah, mkia si...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukihudhuria harusi au sherehe utagundua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nchini

    Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa. Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom) Kuna Mapepo ya UHARIBIFU...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

    Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga. Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hili linatatulikaje; Baada ya kifo cha mmewe mama kama mrithi anauza ovyo mali pasipo kushirikisha watoto

    Habari wadau! Ukitaka kujua tabia nzuri au ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja! Jambo kama hili huwa linatatulikaje? Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na wadogo wanaohitaji uangalizi au usimamizi! Mama kuanza kuuza mali, viwanja, mashamba kimya kimya pasipo...
  7. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Continental ovyo kabisa

    Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na kukata simu. Hii meseji yenu nyie continental mnatutumia ya nini?! Ndugu mteja,kama bado unapata shida...
  8. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

    Umetoka kazini umechoka umekaa zako sebuleni anajipitisha na khanga yake inanuka ushuzi unaamua kupiga kimya. Nipo kitandani naperuzi Jamiiforums yeye amelala amejamba kama mara 4 hivi. Shida sio kujamba shida anatoa hewa chafu, inakera sana ukiliambia linacheka cheka tu. Pumbavu, tabia...
  9. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Vijana wamekuwa wa ovyo

    Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia! Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  11. Nassibuabdul

    JamiiForums Tanzania Machinjio ya Vingunguti Dar es Salaam watu wanajisaidia ovyo, Serikali litazameni

    VINGUNGUTI -DAR MACHINJIO MACHAFU KULIKO YOTE TANZANIA Machinjio hayana vyoo, serikali naomba mkalitizame ili maana machinjio ni achafu kuliko kawaida. Uchafuzi wa mazingira, watu wanakojoa ovyo pamoja na kujisaidia ovyo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA tafuteni njia nzuri za kurecord mechi katika uwanja wa UHURU, angle mnazo-record ni za ovyo

    Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri. Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Wachezi wa simba wanaitaji kupumzishwa kabla ya gemu inayofata baada ya kuchoshwa na mazoezi ya ovyo ya Cadena na Matola

    Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala. Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe. Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani. Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi. Mshaharaaa uwiii
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ni utoto, ujinga, ushamba na ulimbukeni kwa vijana kushindana kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani

    Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
  20. w0rM

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
Back
Top Bottom