Vijana wamekuwa wa ovyo

machiaveli

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
1,889
3,957
Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali

Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia!
Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na Kilimanjaro miaka na miaka

Kwaiyo dogo kunipiga vizinga vya hapa na pale nikishuka kama mafegi,visungura buku buku kawaida sana
Siku Moja nikamshauri apige mbishe bado chalii atafute mkwanja
Akaniambia Sasa bro nionganishe kazi Moja basi ya ukuli na Mimi nipande

Nikamuuliza utaweza manake mziki wake naujua,akasema unanionaje bro(kweli ukimcheki ni kipande ya raia sijui anabebaga vyuma au vipi)
Nikamuambia poa akakata kitambulisho Cha porters nikamsaidia baadhi ya zana za kazi,nikampa na tarehe kabisa ya kazi

Nikasema huyu kwa vile ni mara ya kwanza ni heri niende nae Ili angalau apate muongozo mzuri na nikamchagulia route laini marangu route(coca-cola route)

Siku ya siku tuanzaa day one jamaa anajisifu mno oh sijui niliwahi kwenda kuchimba mererani,mara ninabebaga tofali zile Nene nk..
Tukajua tumepata jembe,tumefika getini Kila mpagazi akapimiwa mzigo wake kilo 20 bana
Mi nilikua si mpagazi nilikua assistant guide hivyo niliangaika na wageni kwanza

Sasa yule dogo alizani sijui ile kilo ishirini ni unatembea kama kuzunguka uwanja wa mpira ndio umefika?!!
Kila saa hapo barabarani ni anauliza mbona hatufiki na kuhema sana

Kufupisha story ni kwamba dogo alizingua nikabeba zangu mizigo kama porter akarudi zake town!

Dogo na li mwili lote lile kumbe mtori mtori asee
Kanit*mb*a kazii
Alafu ukikutana nao mjini vifua mbele kama tai
 
naomba niunganishe mie hiyo kazi, sitakuangusha bwasheee.
Serious
 
""Eti hatufikii tuu..... 😃😃

Kauli kama hzo huwa zinachosha sana hasa Kwa ss watu wa mikazi migumu
 
Sasa mkuu si ilikuwa mara ya kwanza kupanda mlima na mzigo, sidhani kama ni kitu kirahisi pasipo uzoefu au maandalizi...
 
Kuna mdau nimesoma post yake humu anajuta kumunganishia mtu kazi,hii kidogo ifanane nayo kwa mbali

Kuna dogo mmoja around 25 anapiga kazi zake za Bajaj muda mwingine unakuta amepoa tu mtaani anasikilizia!
Sasa sisi mara nyingi kwenye high season tunafanyaga kazi za kupanda mlima Meru na Kilimanjaro miaka na miaka

Kwaiyo dogo kunipiga vizinga vya hapa na pale nikishuka kama mafegi,visungura buku buku kawaida sana
Siku Moja nikamshauri apige mbishe bado chalii atafute mkwanja
Akaniambia Sasa bro nionganishe kazi Moja basi ya ukuli na Mimi nipande

Nikamuuliza utaweza manake mziki wake naujua,akasema unanionaje bro(kweli ukimcheki ni kipande ya raia sijui anabebaga vyuma au vipi)
Nikamuambia poa akakata kitambulisho Cha porters nikamsaidia baadhi ya zana za kazi,nikampa na tarehe kabisa ya kazi

Nikasema huyu kwa vile ni mara ya kwanza ni heri niende nae Ili angalau apate muongozo mzuri na nikamchagulia route laini marangu route(coca-cola route)

Siku ya siku tuanzaa day one jamaa anajisifu mno oh sijui niliwahi kwenda kuchimba mererani,mara ninabebaga tofali zile Nene nk..
Tukajua tumepata jembe,tumefika getini Kila mpagazi akapimiwa mzigo wake kilo 20 bana
Mi nilikua si mpagazi nilikua assistant guide hivyo niliangaika na wageni kwanza

Sasa yule dogo alizani sijui ile kilo ishirini ni unatembea kama kuzunguka uwanja wa mpira ndio umefika?!!
Kila saa hapo barabarani ni anauliza mbona hatufiki na kuhema sana

Kufupisha story ni kwamba dogo alizingua nikabeba zangu mizigo kama porter akarudi zake town!

Dogo na li mwili lote lile kumbe mtori mtori asee
Kanit*mb*a kazii
Alafu ukikutana nao mjini vifua mbele kama tai
🤣🤣🤣🤣🙏🏽
 
Back
Top Bottom