Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko.
Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo vinabomoka na vinyesi kuzagaa mitaani hali inatishia uwezekano wa kuzuka magonjwa ya mlipuko wakati...
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi...
Ukikaa chini na kufikiri sana, unashanga kwa namna ambavyo tumekuwa ni taifa la ovyo, linaloruhusu mambo ya ovyo kufanywa ovyoovyo na watu wa ovyo.
Tunalo jeshi la Polisi, tunao Usalama wa Taifa, tunao watu wa makosa ya mtandao, tunao TCRA, lakini ETI hawaoni ujinga huu, ni mambo ya ovyo sana...
Wakati wanaharakati wakihangaika kuwainua wanawake na kujifanya kuwatetea ndipo wanazidi kuwashusha na kuwakandamiza wanaume.
Hali inakokwenda kuna wanaharakati watajitokeza nao kuwa wanatetea wanaume dhidi ya ukandamizaji unaofanywa dhidi yao.
Mwanamke kutaka pasu kwa pasu ilhali hajachangia...
Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
Nimekuwa mteja wa huu mtandao tangu mwaka 2006 ulipokuwa ukijulikana kwa jina la Celtel mpaka leo. Inasikitisha na inaudhi mno kuona kwamba huu mtandao uliotokea kupendwa sana na watu wa vijijini kwa huduma nzuri kipindi cha nyuma ndio mtandao unaoongoza kwa huduma MBOVU KABISA siku hizi...
Kwa hali iliyofikia huku mtaani sasa serikali inatakiwa kuingilia kati. Kwani sasa vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe hasa hizo kali, jamii ya konyagi, kwa sasa utakuta kibanda kinauza machungwa, pipi, soda, unga, mkaa hapo hapo wanauza pombe kali
Kwani mamlaka husika hasa...
Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump.
1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe.
2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka
Rais hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.